ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. O

    JamiiForums Tanzania The Bolsheviks, Dkt. Bashiru, Somo kwa UVCCM na CCM

    Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%. Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza. Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
  3. JamiiForums Tanzania UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

    Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM. Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

    Wasalaam JF, Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala, Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  7. JamiiForums Tanzania James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha

    Na Mwandishi wetu, Arusha. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Mhe James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha kama mgombea wake anayegombea UNEC hatoshinda. Taarifa kutoka kwenye genge hili la kina James Millya zinasema kuwa kwenye vikao...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wachukulieni hatua hawa Mawaziri, wanakichafua chama

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  10. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Instagram ya Serikali kutumika kuwanadi wagombea wa uchaguzi wa CCM

    Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake Hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watawala wetu wa CCM "wanaweweseka" Sana kuhusu ajali iliyotokea ya Precision Air?

    Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita! Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kumalizika kwa kikao hicho, ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya 150,000,000 iliyojengwa kwa tozo hongereni CCM

    Baada ya jamaa kule kupiga mamilioni huku tutizame nyumba ya Mkurugenzi ya mamilioni ya tozo za watanzania
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM inayoongozwa na mwanamke bado ina mfumo dume

    Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na nagazi ya Makamu Mwenyekiti ni wanawake watupu. Katika kutafakari endapo jambo hilo limetokea kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Bando za Intaneti kuangusha Serikali ya CCM

    Kilio cha Wananchi kimepuuzwa na SERIKALI. Kwa Hali ilivyo ni wazi kwamba unyonyaji huu unabaraka za mamlaka za juu. Sasa imekua ni mashindano ya kukandakiza wanyonge. Baada ya kauli ya waziri kuwa Bando za internet ni huruma ya ziada, Sasa Makampuni uameshusha viwango zaidi. Ni kama wamepewa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

    Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!! CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa Kamati kuu na NEC ya CCM kwa uteuzi bora wa wagombea

    Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea. Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
  18. JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  19. L

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

    Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…