ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

    Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  3. JamiiForums Tanzania Rushwa ndani ya chaguzi za CCM ni janga la Taifa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaendelea na mchakato wa uchaguzi wa ndani, ambao hivi sasa umefika katika hatua ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa jumuiya zake za vijana, wazazi na wanawake. Hata hivyo, uchaguzi uliokamilika wa chama hicho tawala katika ngazi za chini kuanzia matawi, kata...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

    Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

    Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020? Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mabula, RC Malima wabwagwa ujumbe wa NEC CCM

    Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa. Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Chaguzi za CCM inatajwa CHADEMA

    CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao. Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
  9. JamiiForums Tanzania CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

    Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Bashiru aliletwa CCM na Hayati Magufuli; Asilaumiwe kwa aliyotenda

    Kwenye video Hayati Magufuli anasema alimtoa Bashiru Ally CUF na kumleta CCM, hivyo basi wanaomlaumu Bashiru hawamtendei haki. Yeye siyo mwanachama wao. Magufuli aliharibu sana misingi ya CCM
  12. JamiiForums Tanzania CCM mna mpango wa kuwaambia nini Watanzania wakati wa kampeni?

    Hivi kwa Tanzania ya sasa CCM Ina mpango wa kuwaambia nini wamachinga, mamantilie, wakulima, wafugaji, wachimbaji wadogo, Wafanyabiashara wadogo wanafunzi wa elimu ya juu na day workers nini pale watakapokuja kuomba kura. Mind you, hili ndo kundi kubwa la wapiga kura na ndio kundi linalokutana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rafu mbaya uchaguzi CCM mkoa wa Morogoro

    Mkoa wa Morogoro ulifanya uchaguzi wake wa kumpata Mwenyekiti wa Mkoa ambapo rafu mbaya akichezewa mgombea Nasoro Duduma aliyekuwa mmoja wa wagombea. Baada ya uchaguzi huo uliyompa ushindi James Masunga, baadhi ya wajumbe walionekana kumwoneshea kidole Mbunge wa Morogoro Vijijini, Inocent...
  14. JamiiForums Tanzania Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya kupata asilimia 58 ya kura zote zilizopigwa Karamagi amemshinda mwenyekiti anayemaliza muda wake...
  15. S

    JamiiForums Tanzania KISIASA: Tanzania tuna chama kimoja tu, CCM!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo. Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

    WanaJf, SALAAM! Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK 1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura; 2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia...
  17. JamiiForums Tanzania CCM siasa zenu ni za kishamba na zimejaa utoto mwingi

    Ukiwa mtu mzima na Mwenye akili timamu lazima utagundua Hilo. Siasa za CCM Kwa asilimia kubwa ni danganya Toto, wanafanya kazi Kwa matukio na propaganda. Yaani mpaka waamshwe ndo uone wamechachamaa. Lakini Hata wakichachamaa agenda Zao zimejaa utoto na uongo mwingi. Ukiwa na akili timamu na...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

    Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali. Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani. Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana. Ni hayo tu...
  19. JamiiForums Tanzania CCM imejaa waoga, wanaogopa kila mtu na kila kitu

    CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM. Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa wanaogopana hata wenyewe kwa wenyewe. Wasipokuwa makini lazima kutatokea jambo lisilofaa.
  20. JamiiForums Tanzania Morogoro: Aliyekosa Uenyekiti CCM adai Uchaguzi ulitawaliwa na Rushwa

    Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621. Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…