ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM inapo tapa tapa kusaka uungwaji mkono

    Ni kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru. Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao. Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo. Mengine haya ni yale yale...
  2. JamiiForums Tanzania Ving'amuzi (speed limit) "ilikuwa" mradi wa kundi dogo la watu (CCM)

    Naomba ku-declare interest kuwa mimi ni mdau wa safari (abiria) wa mara kwa mara 75% nikiwa natumia bus. Niliwahi kuandika kuhusu "uhuni" wa kile kinachoitwa ving'amuzi kwenye mabasi. Leo hii mabasi mengi yaliyosajiliwa kuanzia 2020 hayajafungwa ving'amuzi au vipo na havifanyi kazi! Mabasi...
  3. JamiiForums Tanzania Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  4. JamiiForums Tanzania Malipo kwa wenyeviti na wenezi CCM (wilaya, mkoa na taifa)

    Wakuu, Kwema? Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana. Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na wenezi wa wilaya na Mkoa Ni huzuni kuona viongozi hawa kwa namna wanavyokiwezesha chama kubaki...
  5. JamiiForums Tanzania CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

    Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake. Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa. Anakubalika sana kuliko hata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. 👇
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikia Tundu Lissu juu ya ukomo wa madaraka ni anasa kwa CHADEMA, imani juu ya upinzani imetoweka kabisa. CCM itawale milele

    Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha. Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  10. JamiiForums Tanzania Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi inayoangaliwa kufikishwa kimaendeleo kama Afrika Kusini ni Tanzania ila CCM ndiyo inapoteza muda

    kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake. Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Nape Nnauye kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho. Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana na mwana CCM huyo kuwa Rais wa Tanzania. Lakini kabla ya kuwa Rais, Samia alikuwa ni mjumbe tu wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  18. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza (Mb) na miaka 46 ya CCM mkoa wa Songwe

    MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE "Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…