ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

    Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie. Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge. Thanks
  2. JamiiForums Tanzania Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

    Naam, nasema wazi kabisa. Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi. Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka. Utateuaje watu halafu...
  3. JamiiForums Tanzania Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

    Kwema Wakuu! Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, watoto wa mujini ndio sera zipi za CCM?

    Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha. Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi. Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini. Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ametuma salamu kwa Wapenzi watazamaji wanaowatazama Vijana wa CCM wakisubiri wakosee ambapo amesema Vijana hao hawatokosea na watashambulia kila kona ya Tanzania kuzisaka na kuzilinda kura za CCM pamoja na kugombea...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

    Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini. Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura...
  8. JamiiForums Tanzania Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  9. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi ashiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na...
  11. JamiiForums Tanzania CCM hawana hazina kama walivyokuwa wakijitapa? Wanaotumbuliwa ndiyo hurudishwa na utawala huu

    Ni kweli CCM haina hazina ya wanachama bali wanavikundi vya kusifu na kuabudu ambavyo vimejaa vijana wengi Machawaa lakini hawana weredi wowote? Je, ingekuwa na hazina isingekuwa inarudia kuteua wale ilio watema mwanzoni. Hii haitoshi kudhibitisha hilo?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
  13. JamiiForums Tanzania Ramadhan Cup yaanza kutumiwa na CCM. Ally Bananga apewa nafasi, amshukuru Rais Samia kwa Ramadhan Cup

    Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
  14. JamiiForums Tanzania Vikao Vikuu vya CCM

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na Mwenyekiti wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu

    Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu! Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…