ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM unazungumzia kupoteza watu wakati sera za chama zimebadilika. Huyu aelemishwa 4R

    Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake. Kwa mawazo yangu inaonekana bado kuna watu wana mawazo na mitizamo ya mifumo na sera ya awamu ya 5. Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  6. JamiiForums Tanzania CCM tuheshimu Amani ya Watanzania

    Nianze kwa kuwapa pole na kuwaombea kwa mwenyezi Mungu ndugu zetu wote waliopata majanga ya mafuriko popote nchini Tanzania, pili nimpe pole Mh. Raisi mama Samia suluhu Hassan kwa kitendo cha kuzalilishwa kwenye mitandao, binafsi naamini ni utamaduni mbaya sana na hasa niliposikia waratibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Tumetawaliwa na chama kimoja (CCM) tangu nchi ipate uhuru. Serikali ya CCM inahusika na makazi holela yanayokumbwa na mafuriko tunayoyashuhidia yanayosababisha maafa na hasara kubwa wa raia na kodi zetu. Seikali imeruhusu watu kujenga na kulima popote bila kujali kuna hatari gani. Serikali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda. Wakati Makonda...
  9. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa CCM(W) Rorya Ongujo Wakibara na DC Chipola Wameandaa Genge kuwazomea Viongozi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa: Uhuru wa kuzungumza lolote haukuwepo kabla ya Rais Samia

    “Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
  11. JamiiForums Tanzania CCM hakukaliki hakulaliki chombo kinajiendea tu

    Heshima sana wanajamvi, Huko CCM mambo yamekuwa mambo nahodha haheshimiki tena kila mmoja na lwake.Wote wanataka nafasi ya nahodha wanasema muda wake umeshapita keshakula vya kutosha atuachie na sisi tujinafasi kwa wakati wetu. Wazee wanateseka kuweka mambo sawa,muda si rafiki tena mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  13. JamiiForums Tanzania Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
  14. JamiiForums Tanzania FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

    Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mawaziri na viongozi wa kisiasa wapo salama? Tunaamini watalii wataongezeka kuja kwenye nchi ambayo Mawaziri wanatuhumiwa kumuhujumu Rais?

    Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini. Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi lakini najiuliza huko wapi usalama wa wanaotuhumiwa? Je...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya. Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
  18. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Dennis Msacky na Aboubakary Liongo walamba teuzi ndani ya CCM

    Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi. Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku. Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
  20. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…