ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

    Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 2015-2020 Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ugumu wa maisha Tanzania wawaathiri wapinzani tu wanaccm maisha yao ni mazuri

    Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike. Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
  4. JamiiForums Tanzania CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

    Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatoa mchakamcha usio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic

    Wajf imani ikatawale popote mlipo. Andiko langu litakua fupi Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

    Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema...
  7. JamiiForums Tanzania Yaani kuhamia CCM kutoka uliko ni mpaka umuombe Mungu? Tumpumzishe Mwenyezi Mungu kwa Unafiki wetu uliojificha

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo. Chanzo: @MwananchiNews Ngoja nami GENTAMYCINE...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa zake...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

    Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha na kesi zilizopo mahakamani. Makalla ameyasema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 akifanya mahojiano...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuweni makini na chaguzi zisiwagawe, CCM wanasubiri mkono uanguke waukamate. Macho na masikio ya CCM yako kwenu sasa

    Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho. Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo? Chukueni...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania We want: Separating Government and Political Party Activities

    The Minister of Energy, January Makamba, made the statement on behalf of the President of the United Republic of Tanzania on December 19, 2022, while speaking to the Contractors at the signing ceremony of the Peri Urban III Project construction contracts between the Rural Energy Agency (REA) and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…