Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Cute Wife

Senior Member
Nov 17, 2023
197
601
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.

Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani!

Kwamba alokuwa anaongea kwa lengo la kumtega? Na yeye angemjibu nina mume handsome nyumani angekuwa amekosea? Maadili ya kazi yanasemaje? Hata kama unamhoji mtu ameiba ndio unatakiwa umdhalilishe namna hiyo?

======

Pia soma:
 
MWACHE AHOJIWE NA ANATAKIWA ATOE MAJIBU SIYO KUMUNGUNY AMANENO WAMEIBA SANA MKOMBOZI KAINGIA ARUSHA WACHA WANYOROSHWE BADO LEMA
 
Huyo baba ni mjomba wako?
Hujisikii aibu kumtetea? Au hujaona hiyo clip?
Kuna watu wana sauti ndogo sana
Anamwambiaji aongeze sauti sjui asimrembee km anatoa posa bla bla mke wake this mke that. Vina mahusiano gani ktk mahojiano??
Angemwambia tu weka maiki vizuri mdomoni ili usikike, asingeeleweka?

HAKUNA HURUMA NA WEZI WA MALI ZA UMMA NANI ALIMWAMBIA ATUMIE HELA YA WALIPA KODI KAMA YA KWAKE?
 
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.

Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani!

Kwamba alokuwa anaongea kwa lengo la kumtega? Na yeye angemjibu nina mume handsome nyumani angekuwa amekosea? Maadili ya kazi yanasemaje? Hata kama unamhoji mtu ameiba ndio unatakiwa umdhalilishe namna hiyo?

View attachment 2998156
Nadhan, Kilichomponza ni kuvaa jezi ya Chadema mbele ya Mwana CCM lia lia. Angalia pia wanakamati baadhi wamepiga sare za cdm. RC amekuwa na stereotyp
 
Huyo baba ni mjomba wako?
Hujisikii aibu kumtetea? Au hujaona hiyo clip?
Kuna watu wana sauti ndogo sana
Anamwambiaji aongeze sauti sjui asimrembee km anatoa posa bla bla mke wake this mke that. Vina mahusiano gani ktk mahojiano??
Angemwambia tu weka maiki vizuri mdomoni ili usikike, asingeeleweka?
Naunga mkono hoja ile clip makonda pale kazingua sana
 
Back
Top Bottom