ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwana CHADEMA anayeitamani Tanganyika kama Othman Masoud wa ACT wazalendo anavyoitamani Zanzibar yenye Mamlaka kamili?

    Hadi sasa kumbukumbu zinaonesha ni Mchungaji Mtikila peke yake ndio aliipigania Tanganyika kutoka moyoni Natamani sana Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud angekuwa ni Mtanganyika yule Mwamba hana Bei mgongoni Na kiukweli watakaoamua Tanganyika irejee ama la ni Wazanzibar...
  3. R

    JamiiForums Tanzania As usual ukisha kuwa CCM, akili unaziacha mlangoni, then unaingia ndani!

    Ndio ujumbe wangu wa leo kwa watani wetu CCM!
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itabaki milele madarakani sababu inaongoza masikini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana. Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu yaani ile ya kujipendekeza kwa tajiri nafikiri mmenipata. Kuna siku kamapeni ilifanyika mkoa fulani...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama 24 wa CUF na ACT Wazalendo wajiunga CCM ndani ya Saa 48

    MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili. Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Abbas Mkwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

    Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!? Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM haijawahi kukanusha hizi kauli(video)

    Tuelewane CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata kata ya maji CCM imejionesha kwenye sakata la TotoCard za NHIF CCM imejionesha vyema kwenye mkataba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi bora anaguswa na hali duni na mateso ya walio wengi waliomuamini na kumpa ridhaa

    Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra. Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 katika mashindano ya Qur aan Dar es salaam Rais wetu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kitaifa, wanasiasa wa CCM ,Wabunge na viongozi waandamizi Serikalini hawazungumzi wala kukemea utekaji nchini?

    Mwaka 2024 umekuwa mwaka ulioibua utekaji na mauaji yasiyochinguzika. Umekuwa mwaka wa kuzipiga vita 4R kwa minajili ya kukwamisha juhudi za maridhiano zilizokuwepo swali. Umekuwa mwaka ambao vitendo vya kikatili vimeongezeka na kelele zimekuwa zikipigwa na wanasiasa na hata wananchi kama...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo aelewe Chawa wa kisiasa siyo lazima awe Binadamu hata Taasisi kama Chama chake ni CHAWA wa CCM

    Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama chake Cha UDP Cheyo atoe kwanza boriti Kwenye jicho lake ndipo akione kibanzi Kwenye jicho la Lucas 😂🔥...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.

    TAARIFA KWA UMMA Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo; Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu, wameamua kujiunga na Movement hiyo. Tumejiridhisha kuwa TK ni Sehemu ya CCM hivyo msishirikiane nao na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Police officers, please stop being misused by CCM

    All the demands raised by the common citizens are for betterment of everybody in the country, including the police officers and their relatives. Thus, the outcry of any citizen should not be sidelined by anyone. In this country the police officers are the agents of force and not services. For...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  19. D

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mtiifu wa CCM Bollen Ngetti, ana hoja!

    C&P RAIS na Mwenyekiti wangu wa chama hongera kwa majukumu bila mapumziko ya maana. Mambo ni mengi yanaendelea hapa nchini yanayoweza kuikwaza chama katika chaguzi zijazo. Most. Suala hili la watu kutekwa na kupotea tena tena likijiita ni "Kikosi Kazi Maalumu" inayopambana na wakosoaji wako...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…