ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania CCM ndio mkombozo wa wanyonge

    Chama cha Mapinduzi ndio mkombozo wa watu Wanyonge nchini. Chama cha wakilima na wafanyakazi. NB: uapisho wa Ramaphosa Boeing 787 abiria 246
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

    Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
  3. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Sioni hasara yoyote CCM ikifa sasa! Ifike hatua hata aliyeko CCM mwenye mapenzi mema na Nchi, awe radhi kwenye hili!

    Kizazi cha wazalendo CCM kimeisha sasa, ndani ya CCM, kimezaliana kizazi cha mafisadi tupu na hakioni haya kufanya hivyo, wajukuu na vitukuu ambavyo vimekuta wazee wao wanajilimbikizia mali kwa wizi na ufisadi, vimeishi kwenye maisha hayo mpaka vimekuwa na kufikia hatua ya kuwa viongozi Chama...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Wapigaji wameongezeka serikalini, sitasifia kila kitu

    Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

    kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini, ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025? afanye nini, aamue nini, na...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mpina ondoka leo na siyo kesho hapo CCM

    Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM. Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo. Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia na CCM wametimilisha msemo wa wahenga kwamba kelele za vyura kwenye dimbwi hazimzuii ng'ombe kunywa maji na ushindi ni lazima 2025

    Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. CCM chama tawala Tanzania tangu kuanzishwa kwake kimeshika...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa

    Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini. Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na mali kwa viongozi waandamizi wa CCM, kuanzia ngazi ya tawi unanatufikia vyema sana. Asanti sana Mama...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Wala rushwa au wapokea rushwa hawafai kua viongozi, wawe CCM au CHADEMA, watauza nchi

    Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali. Wataalam wa mambo ya siasa za kusini mwa jangwa la sahara wanasema huu ni muendelezo wa kukosoa tuhuma za rushwa na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

    Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...
  13. instagramer

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM "tujipange" kuwajibu Hawa "wapotoshaji" wakubwa...

    Habari wanaBodi.. Mara kadhaa Kila ninapofatilia mijadala humu, hasa Jukwaa la siasa, hua napata ukakasi kidogo na tashtwiti ya kujua Nini hasa kipo nyuma ya pazia.. Ukiangalia Jukwaa la siasa hoja nyingi Sana zinazowekwa humo ni spana za kupinga "mazuri ya viongozi wetu" katika kutuongoza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  15. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM haikuruhusu mfumo wa vyama vingi ili siku moja itolewe madarakani

    Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lema kutimkia CCM

    Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  19. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania CCM ndio chama

    Nama la mama raisi wetu kipenzi Raisi Samia Suluhu Hassan Nani Kama mama Wenye kumtungia uongo wajinyonge https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D Somo la bure CCM ndie mama, CCM yajenga nchi CCM ndie baba, CCM yajenga nchi
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
Back
Top Bottom