ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  2. M

    Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  3. A

    CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  4. M

    Day 3: Wananchi Arusha wazichoma ofisi za CCM Mianzini

    Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni: 1. Uchaguzi 2025 ufutwe 2. Katiba Mpya 3. Tume Huru ya Uchaguzi 4. Waliotekwa waachiliwe huru 4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
  5. CCM Wakubali Ukweli... Nchi haitawaliki tena

    Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo. Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro.. "Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu...
  6. M

    CCM imekuwa chama cha kijinga kiasi hiki?

    Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani. Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo. CCM tokeni kabla ya hoja ya...
  7. Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  8. K

    Mali zote za CCM zitaifishwe na Serikali Kuu

    Mali zote ambazo ni za seikali wataifishe ziwe za serikali haraka sana na wafungue chama kingine
  9. JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  10. K

    Hivi haya yanayotokea, CCM hawakujua kabisa?

    Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko...
  11. M

    Msanii Diamond afuta post zote za CCM

    Kaondoa hadi post ya kumtakia heri Samia Suluhu kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Ndo kishawasaliti au kanusa kitu mbele?
  12. C

    Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  13. M

    GE2025 Kamati Kuu ya CCM mnavochelewa, ndio tunapanga kukifuta chama chenu

    Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia. Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
  14. GE2025 Mwijaku amefuta post zote za Samia na CCM Instagram yake

    The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
  15. F

    GE2025 Tanzania mmenifurahisha, Samia aondoke la sivyo akikamatwa atatafunwa kama karanga. Tumechoka na hawa CCM

    Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka. Niwatahadharisha...
  16. GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  17. Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  18. GE2025 Facebook imeliwa kichwa bila VPN huoni kitu, CCM must go

    GT Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
  19. GE2025 Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM

    Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM. Kwani Sheria inasema? Je, nani atawanya nini?
  20. GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…