ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

    “Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba. Chanzo: Star TV Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Nchimbi: Tofauti ya Mpina na WanaCCM au Wabunge wengine ni tofauti ipo kwenye Familia yoyote

    Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya pili Mzumbe yeye alikuwa anasoma degree yake ya kwanza na hajawahi kuacha kuwa mtatamtata hivi hata...
  3. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?

    Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani kama tu hapo Tanganyika. FRELIMO bado ina nguvu sana kama CCM. # Waangalizi wa kimataifa wakiwemo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

    Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa. Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu. Ushahidi wa Hoja hii ni...
  5. JamiiForums Tanzania Nusura ya Tanganyika ni anguko la CCM

    CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko Visiwani hali ni mbaya zaidi kuliko huku Bara! Lakini wanalazimisha kupendwa kwa namna yoyote ile.. Hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Je, vitendo vya kutekana na baadhi ya Wahanga kuuawa ni mkakati wa CCM kutaka kuua upinzani nchini ili usiwepo kabisa?

    Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini. Uwepo wa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la...
  7. JamiiForums Tanzania Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

    Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola. Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
  8. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  10. JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli:- Watu wengi tupo CCM kwa maslahi yetu binafasi..!!!

    INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM 2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe. Watu wengi wapo CCM wana...
  11. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia Siasa za Kenya zilivyofeli utakubali Ukweli' kuwa CCM ndio baba wa Siasa Afrika Mashariki!

    Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Kuongoza wajumbe wa Secretarieti ziara nzito Mikoa ya Simiyu Na Shinyanga Tarehe 6-11 October

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  16. JamiiForums Tanzania Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

    Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma. Ndugu ADAM KIMBISA, Aliwahi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  18. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mstaafu Kikwete unaona huu moto wa 2025?

    Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano. Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025. Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kuongoza Tanzania ni kazi rahisi sana ila kupata hako kanafasi ndio tatizo ndio maana CCM wanakabia juu

    Yaani kuongoza Tanzania ni kazi nyepesi sana ingawa tunaaminishwa kuwa ni kazi ngumu, jambo kubwa ni upate madaraka kwa njia yoyote Tanzania wekeza sana kwenye Simba na Yanga, tengeneza machawa wa kutosha. Hayo hapo yanatosha kuwafanya Watanzania wakaongozwa kama kondoo sijajua kama ni kukata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…