ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023. Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  3. hitler2006

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye hati miliki ya Taifa letu si CDM wala CCM

    Watanzania tuko zaidi ya ml 60 Wa makabila,Imani na itikadi tofauti Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao pekee Yao ndo Wana uhalali na uwezo wa kuamua hatima yetu kama watu na kama Taifa Wanasiasa Watambue...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumaini lililo jema kwa sasa ni kama Upinzani kutupa mbadala wa CCM au CCM kubadilika kwa maslahi ya Taifa

    Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nakubalika hadi na vijana wa CHADEMA japokuwa huwa wanadhani mimi kada wa CCM

    Mara kwa mara nikikutana nao baa wanauliza braza Idu 2025 utachukua fomu? Idu wewe pamoja na kuwa kada wa CCM tunakukubali sana. Mimi huwa nawapa ukweli. Mimi sio kada bali msema kweli. Hoja zangu sio za kujipendekeza bali kueleza ukweli kwa manufaa ya umma. Bro Idu mbona unabadili Kaunda suti...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, hii Tsh. Milioni 5 ya CCM ni hofu ya 2025 kushindwa na Lissu?

    Tsh. Milioni 5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi. Je 2025 akiwashinda watampisha kiti? Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake? Pia soma: Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo mchango. Tatizo ni maneno ya uchonganishi yaliyotangulizwa

    Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hii inchi ni ya wote, siyo CCM

    Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

    Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking! Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inajua kuwa kumshambulia Mbowe ni kuendelea kumwongezea umaarufu?

    Ni wazi kuwa mpinzani mkuu wa CCM ni CHADEMA! Ndiyo maana hata sisi tusio na vyama vya Kisiasa si shida kutambua kuwa kati ya wanasiasa wanaoipa tabu CCM ni Mbowe na Lissu! Kwa miaka nenda Rudi, kwa mfano, CCM imekuwa ikimzodoa Mbowe kuwa kakaa muda mrefu madarakani. Lakini kama kukaa...
  15. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Huenda CHADEMA ni CCM na CCM ni CHADEMA lakini mbele ya kamera wanatuzuga!

    Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu cha kuji husisha nacho Sana Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa ndiye next Tanzania President kupitia upinzani kwa wakati ule. Hasa ukiangalia mtiti aliokuwa...
  16. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau za kuchangiwa na CCM

    Katibu mkuu wa CCM na anayejiita mchungaji ambaye amehama CHADEMA na kujiunga na CCM kisha kuanza kuishambulia CHADEMA wameanza kumfanyia LIssu na CHADEMA dhihaka, dharau na kejeli kwa kujifanya wanamchangia Lissu kile walichokiita kutwngeneza gari lake. Mimi namshauri Lissu na CHADEMA...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Comrade Shamsa Mohammed, as the Chairperson of CCM in Simiyu Region

    Comrade Shamsa Mohammed, as the Chairperson of CCM in Simiyu Region, is indeed recognized as a strong and influential woman. Her leadership is marked by her commitment to promoting the development of both the party and the government in the region. She has been instrumental in ensuring that...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Chama cha riadha (AT), kamati ya olimpiki (TOC) na CCM tafadhali someni huu uzi

    Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya tafakuri ya kina nimeona niandike huu uzi kwa maslahi mapana ya taifa. Kama kawaida maoni yangu kuhusu...
Back
Top Bottom