ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, Nape Nnauye anapaswa kushtakiwa kwa kauli aliyotoa huko Bukoba?

    Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu. Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: CCM hawaminiki Mama, tutashiriki uchaguzi kwa shingo upande

  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna uwezekano CCM ikaungana na CHADEMA kuelekea uchaguzi 2025 ?

    Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA . Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri . Muwe na siku njema
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  8. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM fundishaneni kufuata sheria, msijione kuwa CCM basi mpo juu ya kila kitu nchi hii

    Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine. Jueni mipaka yenu makada wenzangu, nimestaajabu leo mahali fulani mwenyekiti wa CCM wilaya eti nae anatoa amri ya kumsimamisha kazi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya ziara mikoani, viongozi mrudi ofisini kweli na kuchukua hatua

    VIONGOZI CCM TAIFA MNAFANYA VIZURI SAANA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUYASOMA MABANGOBAADA YA HAPOTURUDI OFISINI TUWE NA TAFAKURI NZITOKISHA TUCHUKUWE HATUA ZA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU Nilisikika nikiunguruma Kama Simba Katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Maovu ya kuzisigina katiba Kanuni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

    Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio. Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi? Pia Soma - CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  13. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kubenea alisharejea CCM?

    1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi? 2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi? 3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga na Pwani

    Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri. Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama: 2025: Samia Suluhu Hassan 2030: Kassim Majaliwa 2040: January Makamba 2050: Ridhiwan Kikwete...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachokwenda kuinyonga CCM 2024/2025

    1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA. 2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA) 3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua...
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania CCM wameuza kila kitu wawekezaji hatuoni faida yao ni mapambio tu

    Kwa miaka kadhaa Mimi natafakari mambo mengi juu ya nchi yangu Tanzania -Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya Mkapa alibinafisisha mgodi wa Bulyannhulu kwa mda wote wao walikuwa wanapata hasara jiulize NI mwekezaji gani anayeweza kuchimba kwa miaka yote...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya mwanachama wa CCM na CHADEMA ni vitu viwili tofauti, huyo mwingine lazima tuhangaike naye!

    Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa! Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania imebadilka tuna imani na mama lakini ccm sijui kama tutaipigia kura kijani

    We Mama Njoo Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika Tanzania Ya Leo Oooh! Imejengwa Imejengeka Pita Ubungo Tazara Za Juu Barabara Tayari Zinatumika Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage Karibu Inakamilikaa! Tanzania Ya Sasa Mama Aii Mama! Ya Magufuli Mama Aii Mama! Ina Wakawaka Mama Aii Mama! Inapendeza...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wazushi Sana. Hapa kinachowashangaza ni nini?

    Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM. CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani. Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa...
Back
Top Bottom