ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  2. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yakwamisha tena dhamana ya Boniface Jacob (Boni Yai)

    Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024. Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo. Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu za CCM na usalama wa Waandishi wa Habari

    Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari. 1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema. 2. Azory Gwanda alipotezwa na hajulikani alipo sababu ikisemekana ni kuandika habari za uchunguzi kuhusu...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunawapenda ila tunawaomba sana mbadilishe kipengele hiki kwenye ilani yenu itapofika 2025

    Wanabodi, Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe wenu kwa serikali. Leo nilikuwa napitia ilani yenu ya 2020 kwa mara nyingine na nigewaomba pale...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

    Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema CCM inazalisha Wanafunzi Mazuzu ambao wanaligharimu na wataligharimu Taifa letu mnatuchukia

    Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi. Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo. Leo...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uhuni huu hufanywa pia na CCM

    Uhuni ni tabia ya watu kufanya jambo kwa kupuuzia kanuni zlizowekwa na jamii husika. Kwenye siasa kuna kanuni ya kuheshimu watu unaowaongoza, angalau kwa vitendo Lakini kwa Afrika wanasiasa wengi huwa hawana tabia ya kuwaheshimu watu wanaowaongoza. Yaani udanganyifu ndiyo aina ya maisha yao ya...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja...
  14. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM na Polisi wa Tanzania na hofu unayojengeka kwa wananchi

    Kuna dalili kwamba wananchi wa Tanganyika wanakabiliwa na hofu kubwa ndani ya mioyo yao. Wakati wanapowaona polisi, wanawafikiri kuwa ni wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kwa upande mwingine, wanapokutana na wanachama wa CCM, wanawaza kuwa ni polisi. Hali hii inadhihirisha jinsi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii, Maendeleo ya kweli kama Taifa tusahau milele

    Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni kansa kubwa inayosababishwa na CCM. Hata watumishi wa umma kama walimu, manesi, maafisa kilimo, polisi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke anatumiwa na CCM

    Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)". Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatutaki Act Wazalendo kushiriki ukombozi wa Watanzania kwani ni vibaraka wa CCM

    Watanzania hawaitaki Act Wazalendo ya Zitto. Vibaraka wakubwa wa CCM
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani ya September 23, 2024

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia ushawishi wao katika siasa. 2. Usalama wa Umma: Kuna hofu kwamba maandamano, hata kama ni ya amani...
Back
Top Bottom