ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. P

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima akiongelea kuhusu utekaji wa wananchi

    Hatimaye Roho Mtakatifu asema na Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya Ufufuo na Uzima Tanganyika na duniani kuhusu watu na wanaharakati wakosoaji wa sera na mipango ya serikali, CCM na hususani Rais Samia Suluhu Hassan kutekwa, kuteswa kisha wengine kuuwawa na kutupwa kama mizoga ya panya...
  4. Ronal Reagan

    JamiiForums Tanzania Siri za Wazi: CHADEMA sio perfect kama vile CCM isivyo perfect

    Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi yetu, licha ya changamoto nyingi ambazo imepitia. UTANGULIZI Kwanza kabisa nitambue uwepo wa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

    kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana za uhakika na za kishindo kwa CCM. Katika kanda hii, wapinzani walishaga jikatia tamaa kabisa eneo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
  7. L

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

    Ndugu zangu Watanzania , Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu. Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama...
  8. 650

    JamiiForums Tanzania Mbona Telegram haifunguki?

    Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
  9. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania CCM kukutana tarehe 02/ 09

    Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usajili WanaCCM kielekitroniki mfumo huu ni mzuri sana

    Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wito kwa wanachama wa CCM wote humu jukwaani kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Comrades, ladies and gentlemen.. CCM hoyeee ✊ Ndugu zangu wanachama, mabalozi, viongozi wa mashina na matawi popote mlipo. tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji baadae mwaka huu. Uchaguzi huu ni muhimu sana kwetu kama chama tawala, lakini pia lengo la chama ni kupata...
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Pikipiki zako za CCM zimeongeza ufanisi wa kiutendaji, zilizobaki naomba wapewe wenyeviti wa kata

    Chama cha Mapinduzi kimejizatiti kwa kuongeza ufanisi ktk ngazi za chini kupitia program ya kugawa Pikipiki maarufu kwa Pikipiki za Samia Suluhu. Hata hivyo baada ya kuzigawa kwa walengwa (Makatibu Kata, Makatibu wa Jumuiya Vijana, Wanawake, na Wazazi) nchi nzima kuna zilizobakizwa bila...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii Samia challenge inayofanyika Instagram ndiyo tusemehe uchawa wa viwango vya kimataifa?

    Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi 😆😆😆😆 Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe, naburuza hadi nichoke mimi, sasa kama watu maarufu NI kama maiti unaburuza tuu, raia asilimia kubwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

    Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani. bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: CCM kukataliwa mkutano wao Ngorongoro ni Maigizo

    “Kwenye suala la Ngorongoro, ilitakiwa twende huko kesho Ijumaa kwenye Mkutano, tuliomba mikutano mitatu, Makalla (Mwenezi wa CCM Taifa) alivyoona akatoa ratiba ya mkutano, nikamwambia Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini kuwa Makalla ameitoa hiyo ratiba makusudi, hawa wana mpango wa kutunyima...
  16. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM. Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  18. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makada wa CCM waondolewe kwenye vyombo vya kutoa haki

    Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada. Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wanaowakilisha chadema katika kesi nyingi, wanamuwakilisha Mpina katika kesi dhidi ya wana CCM wenzake-ambao ni Bashe na Tulia

    Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni. Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo wamezuia mkutano wa CCM ili kuhalalisha zuio lao kwa CHADEMA. Mnaweza kufanya zaidi ya hivi, hii ni aibu

    Wakuu, Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes: CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
Back
Top Bottom