ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura za maoni zazua 'mtiti' Unga Limited – Arusha, wengine watishia kutompa kura kada wao wa CCM

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho endapo aliyeshinda kura za maoni hatawekwa kama mgombea katika nafasi hiyo. Wanachamama hao...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ''Asiwe mlevi kupindukia'' Sifa mpya ya wagombea wa CCM Serikali za Mitaa?

    Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii? Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna viongozi walikuwa wakija kwenye vikao au mkutanoni wamelewa chakari mpaka mkutano unageuka kituko
  4. winnerian

    JamiiForums Tanzania A culture of incompetence rooted in the rigid doctrines of Chama Cha Mapinduzi (CCM) and disabled Policies.

    To be seen by all Cabinet Members As Tanzania stands on the threshold of potential greatness, we face a dire, persistent obstacle: the misdirected energies of our leaders. Busy with needless, performative engagements, our leaders repeatedly squander their attention on deceitful trips and...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuwashirikisha Watoto Wizi, CCM mnaharibu Taifa lijalo

    Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha? Jee hii CCM inayofanya mambo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  7. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuanzia Kesho CCM Kuisimamisha Nchi Katika Uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika hapo November 27 Mwaka huu. Ambapo mpaka sasa imeonyesha CCM ikiendelea kuungwa mkono kwa...
  8. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania ILA CCM WANA MAMBO BWANA

    Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM moshi mjini chukueni hatua dhidi ya kada wenu Ibraline

    Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo. Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

    Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake. Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini Kaibiwa kura? Familia imemtosa? Mimi na wewe hatujui Soma Pia: Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM: Malori Tani 80 kuingia Mjini, Serikali Itafakari Mazingira ya Barbara za Mji wa Moshi

    Serikali inapaswa kuangazia kwa makini hali ya mji wa Moshi, uliopo mkoani Kilimanjaro, ambao umekuwa ukivunja rekodi nchini Tanzania. Kuitwa mji wa kwanza kuingiza malori yenye uzito wa tani 80 katikati ya mji ni jambo linalohitaji uchambuzi wa kina. Hali hii inatishia si tu usalama wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Botswana Democratic Party na CCM!

    Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961. Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali. Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea wa CCM aliyedai Mwanamke kwenye Kampeni licha ya kuwa ni Mwanaume afafanua kauli yake

    Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi huko Makate, ametoa ufafanuzi. Eston Chaula amedai kuwa hakuwa na lengo baya na kauli yake bali...
  14. T

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani wasisherekee rough za uchaguzi ndani ya ccm hilo ni jalamba la kuja kwao! Ikiwa yanaupata mbichi vipi mkavu?

    Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi. Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya CCM, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana CCM...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM wacharuana, Uchaguzi Mwananyamala-Kisiwani waahirishwa

    Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo kwenye orodha ya wakazi, hivyo kusababisha uchaguzi kuhamishiwa Ofisi za CCM Kata ya Mwinjuma. Soma...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Moto wa vurugu katika kura za maoni CCM umeendelea kukolea

    Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.Wajumbe hao wamalalamikia wizi wa kura uliofanywa na baadhi ya viongozi...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

    Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Yaliojiri upigaji wa kura za maoni ndani ya CCM Mitaa ya kata ya Msigani Ockoba 23, 2024

    Kata ya Msigani inapatikana Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kata hii inajumla ya Mitaa mitano ambayo ni Mtaa wa Msigani, Mtaa wa Temboni, Mtaa wa Malamba Mawili, Mtaa wa Msingwa na Mtaa wa Kwa Yusufu. Aidha kwa mwaka huu kumekuwa na muhamko mkubwa sana kwa wanachama wa CCM katika Kata...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Awamu ya sita watu wanatamani kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu ya tano. Je ni kweli!?

    Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa. Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
Back
Top Bottom