ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Tauhida na Mbunge Amina Mzee Waweka Kambi Arusha, Wataka CCM Ishinde Kila Kona ya Nchi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee wameendelea na Kampeni Mkoa wa Arusha huku wakiwaombea Kura kwa Wananchi Wenyeviti wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji wanaotokana na CCM ili CCM ishinde kwa kishindo nchi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Uenezi CCM, Katavi Revocatus Kinyoto: Chagueni viongozi wenye uwezo

    Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza maslahi Mapana ya wananchi katika Maeneo yao. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msigwa awaita Mbowe na Lissu CCM

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani. Msigwa amesema, "CCM niwaombe radhi kwa maana nilikuwa mtata sana, ni kama yule kipofu Nilikuwa kipofu sasa naona, kama...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mogella: Wana CCM jiepusheni na vurugu katika uchaguzi

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kusimamia shughuli za maendeleo katika Maeneo yao. Soma Pia: Special...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Eric Shigongo: Msifanye makosa mkaniletea mtu ambaye hatokani na CCM

    Wakuu, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituko: Aliyepitishwa Kugombea CHADEMA ahamia CCM

    Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024, Julius Shedrack amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuguswa na mwenendo wa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Siyame: Chagueni CHADEMA, CCM haijabadilika

    Wakuu, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la Kamsamba wilayani Momba. Mtia nia wa ubunge jimbo hilo, Fanuel Siyame, amewataka wananchi kuwachagua...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: CCM wakatiza mbele ya mkutano wa ACT wakati mgombea akinadi sera zake

    Wakuu, Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh: Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mongella ahitimisha Kampeni za CCM Shinyanga kwa maandamano ya hamasa

    Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Uenezi CCM Dodoma: Tuna tetesi wamejiandaa kulalamika na kususia matokeo

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo, amedai zipo tetesi za vyama hivyo kujiandaa kususia na kulalamikia matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Kiswaga: CCM Tumejipanga, Tujitokeze Kupiga Kura

    Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo. kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Gekul: Tuwalipe CCM kwa kura nyingi kesho

    Wakuu, Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini? ==== Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi kwa kukipa kura nyingi za ushindi kesho Jumatano Novemba 27. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Sebastian Kapufi Awashukuru Wananchi kwa Kuwaamini Wagombea wa CCM

    Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM kwani inaonyesha wanakubalika katika maeneo yao. "Wananchi wote itakapofika tarehe 27 Novemba, 2024...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

    Wakuu, Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61%...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani. Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
Back
Top Bottom