ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanachofanya CCM na TAMISEMI ni ulevi mbaya sana wa madaraka

    Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
  2. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM. Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

    Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Sio...
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania CCM ya Marekani imeanguka kwa kishindo. Propaganda zina mwisho

    Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka. Haya sasa ndugu zenu wa Democrats (CCM YA MAREKANI) mwaka huu wamefanya kama mnavyo fanyaga. Wamewatumia akina Mwijaku wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA linapozidi Kuonekana, CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura

    ANGUKO LA CHADEMA Linapozidi Kuonekana – CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura. Katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji, CHADEMA imeonyesha kushindwa kusimamisha wagombea katika sehemu kubwa ya nchi. Wakati ambapo Watanzania wanahitaji viongozi wa kuwajibika, ambao...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  10. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mbunge CCM alalamika bungeni kuwa awasikilizwi, pia taarifa za CAG zinapuuzwa

    Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Shaaban Othman ampa kijana wa kundi maalum Tsh. Milioni 1 na kiti mwendo ili aweze kujikimu kimaisha

    Wakuu, Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi! === Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1) kwa kijana wa Kundi maalum ambaye alikuwa na uhitaji na Mheshimiwa Waziri kuweza kumsaidia Kiti...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar washerekea Miaka 4 ya Rais Mwinyi na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba

    Wakuu, CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha vijana kupitia CCM kushiriki katika uchaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi. Kampeni hii...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM na CRC - Chama tawala Comoro kushirikiana

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM with reverse psychology tactics

    The idea behind reverse psychology is that by pushing for the opposite of what you want, the other person will choose to engage in the behavior that you desire. "Kuelekea 2025 - Hakuna CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu"
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ya Tanzania fanyeni hivi ili kuepuka ya BDP ya Botswana

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
  18. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Wanachama 260 CCM Jimbo la Mtama kuhamia ACT. Kuna Nini nyuma ya pazia?

    Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA. Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni Mtama mkoa wa Lindi walihamia ACT. Kwa wanaofahamu Jimbo la Mtama Mbunge aliyeko sio wa ACT au Chadema...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

    Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60, Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja na kila sababu ya kuipumzisha CCM maana ni kama inalizamisha taifa

    Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu tena za kuliendeleza taifa hili. Nina sababu zifuatazo kuisupport hoja yangu katika hili. 1. Chama...
Back
Top Bottom