ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

    Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi. Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

    Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftari lisilo rasmi

    Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chaguzi feki zitaiua hata CCM yenyewe

    Kuna wana CCM wanafurahia uhuni wanaofanyiwa wapinzani kwenye chaguzi. Kwao inawapa sense ya ufahari ya kujiona wana power fulani hivi inayowawezesha kuiruhusu haki kwa kupenda au kuiminya haki kwa kupenda. Hata hivyo huu ni mtazamo finyu. Ikifikia hatua ile core ya CCM ikaamini kuwa haihitaji...
  5. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ajiandikisha Dodoma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CCM yatoa barua inayohusu kuhujumiwa na Watendaji Serikali za Mitaa

    Baada ya mipango yao ya kuandikisha watoto kufeli leo Chama cha Mapinduzi kimesema kinahujumiwa na viongozi na mawakala wao na watendaji wa serikali za mitaa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM mmekosea hapa kwenye kuandikisha watoto, mngefanya hivi mngefanikiwa, acheni ubishi na ujuaji

    Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote chini ya giza linaweza kutokea. Ushauri wangu mngewaelekeza walimu wasipeleke darasa zima kwenye kituo...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kutisha mno kufikiria kwamba Kuna siku ccm itaondoka madarakani kwa sanduku la kura ! Kitakacho iondoa ccm madarakani ni kiyama tu !

    Kabla sijatoa sababu za kwanini ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani nitaorodhesha majina ya wababe waliowahi kujaribu kuiondoa ccm madarakani na Hali zao kwa sasa ,1995 ndio Kila mtu aliamini kazi imekwisha ,wanasiasa nguli walijiondoa ccm na kuunda ngome imara Sana ya ushindani na Kila...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  12. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ukweli mchungu, CHADEMA wameshashindwa uchaguzi kabla ya uchaguzi wenyewe

    Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM wameandikisha wapiga kura wengi karibu nchi nzima. Hapa haijalishi wametumia mikono au miguu ila wanefanikiwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndoto za kada wa CCM kuchua Fomu ya Ubunge 2025 zayeyuka

    Ndoto za kada maarufu wa chama cha mapinduzi CCM)jimbo la moshi mjini za kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kuwania ubunge kupitia jimbo la moshi mjini ,zimeyeyuka kutokana na kuwa chini ya adhabu. Mapema mwaka huu,kada huyo alipewa onyo na chama chake kutokana na kuendesha...
  14. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi "Taarifa Zinazopotosha Kuhusu Ununuzi wa Magari ya CCM"

    Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM. Picha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ukiacha CCM ambao ndio wanaratibu dosari za daftari la kuandikisha wapiga kura, vyama vingine havioni dosari hizo?

    Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ? Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
  16. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Kujiandikisha Ili upige kura ni kurasimisha uharamia wa CCM katika uchaguzi

    CCM imejipanga kukalia viti Kwa hila, hata kumwaga damu na kupoteza watu kama tulivyo shuhudia Mwaka huu. Ni ujinga wa Hali ya juu kwenda kupanga foleni, ujiandikishe, upige kura wakati CCM wameshaandaa nani atashinda wakisaidiwa na vyombo vya Dola. Vizuri, tuwaachie wenyewe, ndani yao...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

    Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

    CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ina maana Walimu wanawatoa wanafunzi darasani ili waende wakajiandikishe kwenye daftari? Hii video ya Tabora imenifikirisha sana!

    Wakuu, Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe! Hii ni mkoani Tabora!
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa

    Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
Back
Top Bottom