ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

    Wakuu, Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA. Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh: Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM na nyie mnalo la kujifunza kwa CHADEMA, muache ule utaratibu wenu wa kutoa fomu moja ya urais, CHADEMA katika hili nawapongeza!

    CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia! Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msigwa ajiandaa kuondoka CCM ikiwa safari hii mkeka wa mama hautamkumbuka?

    Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema. Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
  5. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana. Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makalla: Tutafunga screen kwenye mikoa ili watu wafuatilie uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Sasa kumekucha CCM wanajambo lao! Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa! ===================== Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu. Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu, Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka . Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

    Wakuu Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM? === Wasanii...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania CCM ndicho chama kilicho na Demokrasia bora na yenye nidhamu kubwa kuliko vyama vya upinzani Tanzania

    Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza! CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana matope huyu kafanye lile tena hata bila kuweka ushahidi. Yani siasa zisizo za adabu na zilizokosa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  11. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda. Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025. "Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

    Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kurudi CCM kwa Peter Msigwa ni kuandaa njia kwa mwenyewe ajae atakayejiunga soon?

    Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema. Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa ajili yao kurudi nyumbani? Je ni mpango wa muda mrefu wa kuiua CHADEMA? Kumbuka, Nyerere aliwahi...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma. Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika. Leo siku tatu kabla ya mkutano huo...
Back
Top Bottom