ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Uenezi CCM Dodoma: Tuna tetesi wamejiandaa kulalamika na kususia matokeo

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo, amedai zipo tetesi za vyama hivyo kujiandaa kususia na kulalamikia matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Kiswaga: CCM Tumejipanga, Tujitokeze Kupiga Kura

    Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo. kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Gekul: Tuwalipe CCM kwa kura nyingi kesho

    Wakuu, Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini? ==== Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi kwa kukipa kura nyingi za ushindi kesho Jumatano Novemba 27. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Sebastian Kapufi Awashukuru Wananchi kwa Kuwaamini Wagombea wa CCM

    Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM kwani inaonyesha wanakubalika katika maeneo yao. "Wananchi wote itakapofika tarehe 27 Novemba, 2024...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

    Wakuu, Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61%...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani. Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Diwani Mpete akiwaelekeza Wananchi namna ya kuwapigia Kura viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura kiongozi atakayekuwa wazi katika utendaji wake ikiwemo kusoma taarifa za mapato na matumizi kila baada...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dorothy Semu amuonya Mtendaji wa Kijiji kutoipendelea CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi. Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu...
  13. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shemsa Mohamed: Chagueni CCM tusonge mbele

    ♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na tarehe 25 Novemba, 2024 alipiga kambi katika Jimbo la Kisesa kupiga kampeni za kuhamasisha wananchi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM hatutegemei dola, tutawashughulikia watakao vuruga Uchaguzi

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kimesema kimejipanga kwa njia zote kuhakikisha kinalinda amani kabla ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ikiwemo kuwadhibiti wale wote wenye nia mbaya (ovu) ya kutaka kuvuruga Uchaguzi kwa kuanzisha Vurugu. "Asitokee mtu yeyote au kundi kupanga njama za kutaka...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenje awapa mbinu Wagombea CHADEMA kupata kura, CCM yakomalia ulinzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani. Wenje ametoa ushauri...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Catherine Magige ainadi CCM Karatu, awataka Wananchi kutohadaika na Vyama vingine vya Siasa

    Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Amewahasa wananchi hao...
  17. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia, amesema chama hicho...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Pindi Chana: Amewaomba wananchi wa Makambako kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: UVCCM Glory Chambo awaangukia wananchi kwa magoti kuomba wawachague Wenyeviti wa CCM

    Wakuu, Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024. Chambo amesema CCM ina haki ya kupewa muhula mwingine wa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Idrisa Kweweta: Wananchi ikataeni CCM kwa vitendo Novemba 27, 2024

    Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kitongoji cha Madiga, Kijiji cha Darajani, Kata ya Kipatimu, Jimbo la Kilwa Kaskazini, Mkoa wa Lindi, Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri la ACT Wazalendo, Idrisa Kweweta amewataka Wananchi kuikataa CCM kwa vitendo. Soma...
Back
Top Bottom