ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa ambulance kituo cha afya, Lukuvi aikabidhi. Ni mwendo wa kujifanya mwema tu kipindi hiki!

    Wakuu, Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke. ===== Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Dodoma: Maeneo ambayo yalitawaliwa na CHADEMA yalikuwa na mafanikio zaidi kuliko yalipotawaliwa na CCM

    Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza wananchi kuchagua viongozi wa CHADEMA kwani sio dhaifu na hivyo kutoa wito...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Mafanikio yaliyoletwa na CCM nchini hayahitaji tochi

    Wakuu, Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni. Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM hayahitaji tochi na ndio maana itashinda kwasababu watu wana imani nayo. Makalla alisema kuwa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Aliyehamia CCM asema, wanaosema wagombea wa CHADEMA walienguliwa si kweli

    Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi za waliokuwa wagombea wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakati wa ufunguzi wa Kampeni...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM itashinda kwa kishindo

    Sitaki kutoa utabiri. Lakini nataka nitoe maoni Naona uwezekano kwamba hali inaweza kuwa kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita. Na kwamba CCM inaweza kupata ushindi mkubwa wa kufanya Rais Samia acheke mpaka augue moyo. Pale 2020 wote tulishangazwa na matokea ya Uchaguzi. CCM walizia viti...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwingine apiga magoti! Chagueni CCM izidi kuwaletea maendeleo! Bado kuruka tu kama Wamasai!

    Wakuu, Safari hii kweli mambo magumu kwa CCM, mbinu za kijasusi zote zinatumika kuomba kura, bado kugeuza macho tu kama akina Zuchu :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

    Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  12. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa CCM na Taifa

    Wasalaam. Zaidi ya miaka 60 tangu Tanzania iwe chini ya mtawala CCM lakini kila uchaguzi mpaka leo ahadi za CCM ni kuleta maji, kujenga barabara na kujenga zahanati. Ni wakati sasa watanzania mmshituke kuhusu hizi ahadi maana hazitekelezeki mpaka itafika miaka 100 bado hakutakua na hizo huduma...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Juliana Masaburi: Yaliyofanywa na Rais Samia Yanatosha Kuendelea Kuiamini CCM

    JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa hivyo kukifanya...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC wa Tabora afanya Marathon kuhamasisha ushiriki wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Pesa katoa wapi?

    Wakuu, Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi? Vihoja hivi utavipata Tanzania tu. Sijawahi kusikia nchi nyingine kama Marathon zinasaidia kuhamasisha wananchi kushiriki...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Fanuel Siyame aapa kuing’oa CCM Momba, CHADEMA kushinda kwa kishindo

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika mikutano ya Kampeni, ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake jimboni...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

    Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Katavi wapiga magoti kuwaombea kura waogombea wao Uchaguzi Serikali Mitaa! Mpaka watatambaa ili wapewe kura

    Wakuu Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata kuwasogelea huwezi, unasikia unajua mimi ni nani? Tutaona mengi wakati huu. Kupata taarifa na matukio...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituko, Wagombea wa CCM wapiga magoti kuomba radhi kwa kutotimiza majukumu kipindi kilichopita

    Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Pia soma:LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka...
  20. C

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Watu wanaipenda CHADEMA, na CCM inalazimisha watu waipende

    Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado wanakipenda hiki chama kutoka ndani ya mioyo yao. Tofauti na CCM inalazimisha watu waipende kwa kutumia...
Back
Top Bottom