Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.
Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa, hajapatikana, na juhudi za kumsaka zinaendelea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazosambazwa kuhusu mustakabali wake.
Kupitia ujumbe wake X (zamani Twitter), Msigwa amesema...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Bw. Daniel Chonchorio Nyamohanga, Mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha majira ya asubuhi siku ya jana.
Kwa mujibu wa Familia wanasema aliondoka Nyumbani kwake tarehe 23 majira ya Saa 2 Asubuhi akiwa anaenda mazoezini...
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote.
Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika, watetezi wa haki, na asasi za kiraia, wote walishauri:
1. Kuwe na Tume Huru ya uchaguzi ambayo...
Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI.
Shamba hilo ambalo miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa ajili ya kulima mahindi kwa ajili ya wanafunzi wa...
Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula.
0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa .
Ila majority ya...
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.
Hivi CCM ambaye...
Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli.
Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea.
Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu mwenezi Wanachama wa CCM taifa. Wanachama wa CCM wengi kwa sasa wanakiri wazi wazi kuwa hao jamaa ni...
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini kimezindua mradi wa maduka 22 yenye jumla ya thamani ya Milioni 178 ambayo yatakayokwenda kutoa huduma mbalimbali Kwa Jamii pamoja na
Kuongeza Mapato ya ndani ya Chama.
Akizindua mradi huo Machi 23, 2025 tawi la stendi Kuu, Kata ya Kitanzini, Wilayani...
No Reforms ,No Election unazidi Kutia watu matumbo joto.
Inasemekana, MFUMO unataka kuwalazimisha baadhi ya WANACCM wale wanaoonekana Timu Magufuli , Kuhamia Chama chochote Cha Upinzani , wawape na Ufadhili mkubwa wa Kampeni .
Kampeni zitainanga sana CCM, chama hiki kidogo kitaonekana chama...
CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM.
==========
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza wanasheria wake kuwafungulia mashtaka, waliohusika kusambaza taarifa zilizodai kuwa CHADEMA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya...
Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.