ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  2. Username 20

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa hili CCM wapo sawa?

    Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

    “Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
  4. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Mbinu saba zinazotumiwa na CCM kubaki madarakani na nini wapinzani wafanye kuiondoa madarakani

    Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO barani Afrika hapo kesho dhidi ya Stellenbosch. Kabla sijaenda Kwenye mada ni declare interest...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi unaoongoza kwa kupoa kama huu, Watu wengi hawana mpango wa kupiga kura

    Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi ulipoa kama huu. Wapiga kura wa CCM wapo relaxed wana uhakika na matokeo hata wasipopiga kura. wapiga kura wa vyama pinzani hawana imani kabisa na tume ya uchaguzi wanaona kupiga kura ni kupoteza muda.
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Mshikamano Huu, Haki iendelee kuimbwa na Kila Kiongozi wa Dini , CCM wameanza kutoa kilio Cha chinichini karibu watalia Kwa SAUTI

    Niwashukuru sana Kwa dhati Viongozi wote wa DINI ambao wameamua kutoka hadharani na kusema juu ya HAKI. Kwa Tanzania ,HAKI imegeuka kua Chozi la Samaki. Mwaka 2020 , nilinyimwa HAKI ya kuchagua baada ya MTU Kupitishwa bila Kupingwa, iliniuma sana sana !!.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Iwe marufuku kwa Makanisa kuwaruhusu watu aina ya Paul Makonda, kutumia Madhabahu kuelezea Siasa na CCM!!

    Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi. Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma. Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA . Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yawapa angalizo Wabunge waliopewa nafasi wakashindwa kufanya vizuri majimboni

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wabunge ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wala kurudi kwa wananchi watambue Chama kuwa hakitakuwa ba namna ya kuwasaidia kwa sababu walipewa nafasi wakashindwa kuzitumia. Akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama katika Wilaya Sikonge mkoani...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni Sera za Serikali ya CCM ndizo zimewajaza Wachina Tanzania wanaoiba Ajira za Wazawa

    Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' . Ongezeko Hilo la utegemezi Kwa Wachina, Kuna uwezekano wa 100% Uchina kua na Uwezo wa kuamua Chama gani kiendelee...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kilindi yawataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwani Rais Samia amemaliza yote

    Mwenyekiti CCM wilayani Kilindi, Rajabu Kumbi amewataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwa maelezo kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika kufanikisha miradi ya maendeleo ya wananchi. Kumbi ameyasema hayo leo Aprili 19,2025 alipokuwa akizungumza kwenye...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

    Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe usikubali mjumbe kuwa adui yako ikiwa unataka ushinde vita. Hii ni hekima ya kale sana na haijawahi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wa Dini Wanapaswa Kuishukuru Na kuiombea CCM kwa kudumisha Amani na Utulivu na wao kupata nafasi ya kuhubiri neno la Mungu kwa uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu. Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
  15. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za Tanzania kwa utanzania wangu na shabiki wa CCM kwa sababu kadha ambazo nitazieleza siku nyingine, leo...
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  17. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa tume huru ya uchaguzi, ni kukubali wazi kuwa huwa hawashindi bali wanapora uchaguzi

    CHADEMA wanachokitaka kupitia NO REFORM NO ELECTION siyo wao kupewa upendeleo, bali kuwa na uchaguzi huru na wa haki ili yeyote anayeshinda, awe ameshinda kwa haki. Na ili hilo liwezekane, kwanza, ni lazima Tume ya uchaguzi na wote wanaosimamia mchakato wa uchaguzi ni lazima wawe huru wasiokuwa...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasema kwa sauti moja CHADEMA ndo Chama wanachokikubali Tanzania

    Habari hii iwafikie CCM na mapandikizi yao yote kuanzia G55, Covid 19, Wale waliofungua kesi Wazanzibar, ACT Wazalendo na Madalali wote wa kisiasa. Leo hii Television maarufu ya EATV imewauliza swali Watanzania kwenye page yake ya Facebook juu ya Chama gani cha siasa Wanakikubali. Post yenyewe...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Kanisa Tanzania ni wana CCM!

    Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya. Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani. Kwa...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania No reform No Electiion ni Agenda ya Watanzania wote wenye akili timamu hata ccm wanalijua hilo

    Ni dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise.. Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui...
Back
Top Bottom