Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji.
( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na...
Moja ya matatizo yalozaliwa na CCM na Dola ni Viongozi kua Miungu watu.
Kwa Fikra za huyu Naibu Waziri , Anayejiita TISS, Kitengo Cha kumlinda Rais, Sijui nayeye anahusika kwenye kupitisha Wagombea, mara yeye ni Mafia, mara atawapoteza washindan wake , ni kielelezo tosha Cha namna gan tuna...
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu...
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi .
https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi.
Dkt. Kevela...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa...
Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ.
Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana.
Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga.
Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti.
Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama.
2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu.
3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA...
Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂
Halafu sasa...
Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi
CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita
CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi
Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
Wakuu,
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine .
Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru.
Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.