Kiki za Polisi zinazuia Agenda za CCM

Kiki za Polisi zinazuia Agenda za CCM

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,590
Reaction score
14,921
Polisi ya Tanzania inataka kuonekana kwenye media ikiwaadhibu Chadema wakifikiri wanawasaidia. Kibaya ni kwamba hakuna chochote na agenda yeyote inayosikika maana kila siku ni mashindano sio tena ya CCM na vyama bali vyombo vyote na Chadema.

Msajili naye amejiingiza kwenye kiki maana wanajua Mama ni mpenda kiki. Lakini hakuna anayejua agenda za CCM tena na Wasira karudi kulala kijijini baada ya kutambua hakuna anaye msikiliza!

Majanga na ujinga jinga wa Polisi una funika mpaka Rais mwenyewe. Huu ndiyo utaratibu mbaya siasa ikianza kuingiliwa
 
Kuna kauli moja mkubwa fulani wa jeshi alikuwa ana taniana na mwenzake polisi ni marafiki ana sema siku wakiamua kuchukua nchi polisi wote wanakuwa raia hata mgambo wanasifa kuliko polisi basi tulikuwa tunacheka kama wanazengo.
 
Polisi ya Tanzania inataka kuonekana kwenye media ikiwaadhibu Chadema wakifikiri wanawasaidia. Kibaya ni kwamba hakuna chochote na agenda yeyote inayosikika maana kila siku ni mashindano sio tena ya CCM na vyama bali vyombo vyote na Chadema. Msajili naye amejiingiza kwenye kiki maana wanajua Mama ni mpenda kiki. Lakini hakuna anayejua agenda za CCM tena na Wasira karudi kulala kijijini baada ya kutambua hakuna anaye msikiliza! Majanga na ujinga jinga wa Polisi una funika mpaka Raisi mwenyewe. Huu ndiyo utaratibu mbaya siasa ikianza kuingiliwa
Polisi ni wangeseeee
 
IMG_20250512_194532.jpg
 
Back
Top Bottom