ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

    Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi. Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

    Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO. Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM aipinga bajeti ya ujenzi, awaita mawaziri waongo

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Makala uwe na hakiba ya maneno bado safari yako ni ndefu sana kisiasa usijiamini kupita kiasi kwakuwa upo CCM

    Huo ni ushauri wangu kwa huyu jamaa ambaye kimsingi nayeye namuona ni mropokaji asiye chuja maneno yake kwa kina
  9. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutwe kitatuletea machafuko hapa nchini Tanzania

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi anatakiwa kukifutia usajili wa kudumu mara moja chama cha mapinduzi (ccm), ni baada ya kuonyesha dalili za kuvuruga amani ya nchi. Kuna kila dalili ccm imeanza kutuletea machafuko hapa nchini, kutokana na wingi wa matukio yanayotokea na...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika nchi hii shekhe Ponda ndugu zake wengi wamekuwa wanafiki tokea harakati hadi sasa

    Huyu mzee alipandikiziwa chuki na chama hiki hiki kipo madarakani ila Mungu aliweza kumfikisha mpaka leo. Hata leo ukija na dini ya shetani, CCM inaweza kutafuta ajenda wanapojua wao kuzima Harakati za mabadiliko. Ila kwa sasa mwisho umefika kwa CCM mshatumia udini,ukabila naona sasa mshakuja...
  11. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Weka nadharia yako kwa uzoefu wako wa siasa za Tanzania unahisi kitu gani kitawaondoa CCM, hali itakuwaje siku wanayotoka?

    Hakunaga marefu yasiyo na ncha but surely ni kitu ambacho lazima kitatokea. Nahisi CCM kwa sasa kutoka bado lakini dalili ya mvua ni mawingu, kuna mawingu yameanza kutanda japo mbua bado sana kunyesha,
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

    CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani. CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania. CCM...
  15. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wananchi lazima wafahamu miradi yote ya ubia nchini ni mali yao,mbia ataimiliki kwa ubia na Serikali kwa kipindi flani tu cha Mkataba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Serikali inapofanya Ubia haimaanishi inahamisha umiliki, na kwamba miradi ya Ubia ni mali ya Umma kabla ya Ubia, wakati na hata baada ya Ubia huo...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Samia na CCM mnatumia nguvu ya dola kulazimisha uchaguzi ufanyike jinsi mnavyotaka, Je, hamuoni mnahatarisha amani ya nchi? Je, hii ni Haki?

    Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CCM Ruangwa wamuahidi Rais Samia mitano tena

    Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: Tuwakate viongozi wanaotaka kuigawa CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama. Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa akoshwa na green guard (UVCCM) Ruangwa

    Waziri Mkuu na mbunge wa Ruangwa ameeleza kuwa amekoshwa na mwamko wa vijana wa UVCCM (green guard) Ruangwa hali iliyopelekea akataka kutokwa na machozi mara baada ya kuona gwaride la vijana hao. Majaliwa amewapongeza vijana hao kwa mwamko huo. Ameyasema hayo Ameyasema hayo Mei 03, 2025 wakati...
Back
Top Bottom