Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi karibuni katika mkutano.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdalla Hamid
Pamoja na mambo mengine, Wanachuo hao wanaosoma...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika utengenezaji wa maudhui yasiyo na tija katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kupata...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
Ikiuzwa hata nchi nzima ni poa tu, Graduate wakijaa mtaani watajua tu wenyewe, napo ni poa hakuna shida watajua mbele kwa mbele.
Maisha yakiwa magumu, huduma za afya zikiwa hazieleweki hasa Hospitali za umma napo ni poa tu,make ni Mungu kapanga.
Kikubwa Yanga na Simba zisiguswe kabisa hapo ni...
Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa; na mabadiliko ya sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi -INEC)...
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.
Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini...
GT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.
Kimanta ameyasema hayo wakati akizungumza na wa umini wa dini ya kikristo alipokua akiongoza...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda amani iliyopo nchini kwani Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla alieleza hayo wakati akizungumza na...
Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki ili jeshi la polisi lisiingililie, na wala isionekane lengo ni kuvuruga amani ? Sikuwahi kupata...
Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
kwa miaka kibao CCM wamekuwa wakituzuga na promises za kitoto kama vile hatujui. Walituletea story nyingi kwenye zile ilani zao fake — all sweet on paper but dead in real life. No kizzy, wamekalia kutoa hope za bandia kila baada ya miaka mitano eti “maendeleo,” lakini kumbe ni kujaza vichwa vya...
To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary.
Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu.
Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli.
Mirrad ayo unatumika vibaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.