ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Moto wa G55 utaiua CHADEMA? Moto wa Peter Msigwa tuliyeambiwa anahamia CCM na CHADEMA ya Iringa yote na CHADEMA kufa kabisa uliishia wapi?

    Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..? Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..? Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA, Yasema kama ni kuiua CHADEMA ingewekeza nguvu kwa Zitto Kabwe

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Daudi Balali iliyotabiri ushindi wa Magufuli 2020, Lissu kuimarisha Upinzani imerudi tena ikiwa Verified

    Akaunt hiyo imerudi hewani jana majira ya saa tano na dk 31 Usiku ikiwa verified "Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. Mwinyi atashinda Zanzibar, CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa. ACT Bara itasinyaa. CUF...
  4. JamiiForums Tanzania thought experiment - Tundu Lisu &Co. waingie CCM!

    nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha...
  5. JamiiForums Tanzania Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha

    Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha. Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  7. JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vinajukumu kuhakikisha wananchi wanakuwa salama na ustawi imara

    Wakati Uganda akiimarisha Jeshi lake ili aje kusogeza mpaka wa Kagera, Malawi akijiweka sawa kuchukua Ziwa Nyasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya vinawaza kuwa chawa wa wapuuzi wa CCM na kuua upinzani ili CCM iendelee kuwepo Madarakani. Nchi ikiwa kwenye matishio halisi ya kiusalama wao...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuzindua mpango wa uhakiki taarifa huku wenyewe wakiwa wapotoshaji wa kwanza, yaani mwizi anaenda kumhakiki mwizi!

    Wakuu, Sijui ni upotoshaji wanaenda kukomesha kama wao ndio wapotoshaji wa kwanza! Tutaona mengi. ==== UVCCM yaindua kampeni ya Kijani Fact Scan kwaajili ya kukomesha upotoshaji Mei 21, 2025, UVCCM Taifa imezindua rasmi kampeni kabambe ya kitaifa ya Kijani Fact Scan katika mkutano maalum...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiondoa CHAUMMA, CCM wenye kujua idadi ya Wabunge wao tayari, Vyama vingine vimeahidiwa Wabunge wangapi na Dola ya CCM ?

    Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!. Hivi ACT Wazalendo, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP, NCCR? ina maana nyinyi mnaona sawa Wenzenu CHAUMMA wapewe Magari, Helkopita, Fedha, Wasanii ? Kwanini na nyinyi msidai hayo tena...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kadri CCM wanavyoikandamiza CHADEMA, ndivyo wanavyozidi kuifanya CHADEMA izidi kupiga hatua na kupendwa zaidi na mioyo ya Watanzania

    Dear all.. la pace sia conte. Nimefanya utafiti na kugundua kuwa kipindi hiki Chadema kimepata uungwaji mkono mkubwa saana kutoka kwa wananchi kwa sababu ya political sympathy sambamba na baadhi ya matukio ya sintofahamu yanayojitokeza kwenye nchi yetu. Chawa kunufaika na...
  11. JamiiForums Tanzania Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

    Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma? 99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa hata...
  12. JamiiForums Tanzania Tukisema sisi labda mtafungia mada zetu sikilizeni huko Kenya wanachokisema

    Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025. Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado Watanzania tunafanyiwa haya mazingaombwe? Mnayofanya CCM nani aliwaambia tunayataka?

    Nina tumaini wote tu wazima wa afya, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi, yanafichika na kuendelea kwa kweli! Chama Cha Mapinduzi kimeisha toa ratiba yake, moka ya agenda ni uzinduzi...
  15. JamiiForums Tanzania Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ilishinda, inashinda na itashinda Chaguzi zijazo zote!

    Wakuu hizi ni sababu kadhaa za kuaminika na zimefanyiwa kazi kwanini CCM watashinda kila wakati 1. Aina ya wapiga kura. Hii ni sababu mojawapo, vijana wengi na wasomi ambao pengine ndio wangeweza kuitoa CCM madarakani sio Wapiga kura!! Kwahiyo CCM ina mtaji wa watu wengi hususani wazee na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vilivyoshika madaraka kwa kusaidiwa na CCM vinageuza nchi zilizokuwa na nafuu ya Uchumi kuwa masikini zaidi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilihusika moja kwa moja katika kusaidia vyama vya ukombozi kama: 1. ANC ya Afrika Kusini, 2. ZANU-PF ya Zimbabwe, 3. MPLA ya Angola, 4. FRELIMO ya Msumbiji na 5. SWAPO ya Namibia, kwa misaada ya kisiasa, kijeshi na kiitikadi wakati wa harakati za kupigania uhuru...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania anayeelewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

    Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa? CHADEMA tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania) CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo. Je, CCM ya sasa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, vyama vyote vya siasa Tanzania ni mali ya CCM isipokuwa CHADEMA tu?

    Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China. Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili). Nchi ina vyama vya...
  20. JamiiForums Tanzania Kuliko Kufungia Mitandao ya Kijamii Tanzania, Serikali, CCM na Polisi Tanzania jitoeni kwenye hiyo mitandao, Msiitumie, Acheni kuwatesa Wananchi

    Unakereka na Machapisho ya X jiondoe ili Usiwe unayaona, na watu wasikuite uone !!. Kwa mf, Kurasa za Rais Samia, CCM, Jeshi la Polisi, Kurasa zote za Serikali Kuu ,Tamisemi ,Taasisi za Serikali n.k ,Jiondoe kwenye mitandao kijamii !!. Mnashindwa Kuajiri Vijana makini wenye Uwezo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…