ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  2. C

    JamiiForums Tanzania "Wakati Usalama Unaporomoka, CCM Inabaki Kimya – Tuendelee Kuikubali?"

    Katika taifa linalodai kuwa na uhuru na amani, hali ya usalama wa raia imegeuka kuwa ndoto mbaya kwa Watanzania wengi. Matukio ya utekaji, vipigo kwa raia wasio na hatia, kufungwa kwa makanisa, na vitisho dhidi ya wapinzani wa kisiasa yameendelea kushika kasi — huku CCM, chama tawala...
  3. JamiiForums Tanzania Dira ya CCM inasemaje kuhusu miji kuwa na mifumo ya majitaka katika makazi?

    CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mmoja wa mabalozi wa shina wa CCM akiwa na V 8 alilopewa kwa ajili ya uchaguzi

    Wazee wa Mavi eite 👇
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
  6. JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi CCM kama angesimama kwenye njia yake ya haki

    Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo namna CCM walivyoliua Taifa la Tanzania

    Tanzania kwa sasa inafahamika rasmi kama nchi ya uchawa, ujinga, umasikini, rushwa, ufisadi, pamoja na ubabe wa dola dhidi ya Wananchi. Haya yote hayajafanikiwa kwa mara moja. Ni matokeo ya mfululizo wa masuala kadhaa yaliyofanywa na dola ya CCM yaliyolifikisha Taifa letu hapa. Kama ulikuwa...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

    WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu, CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu. Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa CCM Wanaobebwa kwenye Malori kuitwa ng'ombe ni kuwadhalilisha

    CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi. Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya. Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
  12. JamiiForums Tanzania Tangu CCM iingie madarakani Daraja la Busisi ndio KITU Kipya walichothubutu nje ya Box

    Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya. Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM. Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

    "Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu, Muwe na viongozi wenye dira chanya, Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa, Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi, Wazalisheni viongozi wenu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Uroho wa Madaraka walionao CCM Siku wakifurushwa wanaweza kuunda kikundi cha Uasi, Nimejifunza Uchaguzi wa Chadema

    Nimekaa Nimetafakari namna gani mwanadamu anaweza akalewa madaraka mpaka kumpelekea kuwa teja au mraibu wa madaraka, Mtu yeyote mwenye uraibu wa kitu fulani basi huwa yupo tayari kufanya kitu chochote ili aweze kupata tiba ya uraibu, na mfano ni pale teja anapokosa madawa ya kulevya wakati...
  15. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Mwanza alalamika kufanyiwa figisu na wana CCM wenzake

    Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao binafsi. Akieleza kazi zilizotekelezwa katika kata hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020-2025, Sima amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Edward Lekaita: Tumeenda Zaidi ya Tulichoahidi Kwenye Ilani ya CCM 2020 - 2025

    EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kishindo, ambapo utekelezaji huo umetikisa katika majimbo yote...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Stergomena Tax ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza. Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
  18. JamiiForums Tanzania CCM mayday mayday

    Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona CCM ya Sasa hivi inaelekea kuwa CCM ya 2015 kurudi nyuma

    Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu. Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche. Samia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…