ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha Ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM Jimbo la Mkoani Pemba, zaidi ya Millioni 800 zimetumika miaka 5

    Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

    Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  4. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa kura za maoni za CCM ndiyo uchaguzi wenyewe

    SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi...
  6. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Mbona CCM haijali wakati huu wa uchaguzi kama zamani

    Zamani ikifika mwaka wa uchaguzi mkuu serikali ya CCM ilikuwa ikiwahadaa watanzania Kwa kulegeza maisha vitu kama kushusha bei ya mafuta, chakula N.K kutafuta kura. Lakini kipindi hiki Wala hawajali wanajiamini balaa. Yani Wana uhakika wa kushinda uchaguzi bila hata kujali ugumu wa Maisha ya...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  8. C

    JamiiForums Tanzania "Wakati Usalama Unaporomoka, CCM Inabaki Kimya – Tuendelee Kuikubali?"

    Katika taifa linalodai kuwa na uhuru na amani, hali ya usalama wa raia imegeuka kuwa ndoto mbaya kwa Watanzania wengi. Matukio ya utekaji, vipigo kwa raia wasio na hatia, kufungwa kwa makanisa, na vitisho dhidi ya wapinzani wa kisiasa yameendelea kushika kasi — huku CCM, chama tawala...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dira ya CCM inasemaje kuhusu miji kuwa na mifumo ya majitaka katika makazi?

    CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mmoja wa mabalozi wa shina wa CCM akiwa na V 8 alilopewa kwa ajili ya uchaguzi

    Wazee wa Mavi eite 👇
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi CCM kama angesimama kwenye njia yake ya haki

    Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo namna CCM walivyoliua Taifa la Tanzania

    Tanzania kwa sasa inafahamika rasmi kama nchi ya uchawa, ujinga, umasikini, rushwa, ufisadi, pamoja na ubabe wa dola dhidi ya Wananchi. Haya yote hayajafanikiwa kwa mara moja. Ni matokeo ya mfululizo wa masuala kadhaa yaliyofanywa na dola ya CCM yaliyolifikisha Taifa letu hapa. Kama ulikuwa...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

    WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu, CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu. Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watu wa CCM Wanaobebwa kwenye Malori kuitwa ng'ombe ni kuwadhalilisha

    CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi. Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya. Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tangu CCM iingie madarakani Daraja la Busisi ndio KITU Kipya walichothubutu nje ya Box

    Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya. Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM. Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka...
  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

    "Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu, Muwe na viongozi wenye dira chanya, Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa, Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi, Wazalisheni viongozi wenu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Uroho wa Madaraka walionao CCM Siku wakifurushwa wanaweza kuunda kikundi cha Uasi, Nimejifunza Uchaguzi wa Chadema

    Nimekaa Nimetafakari namna gani mwanadamu anaweza akalewa madaraka mpaka kumpelekea kuwa teja au mraibu wa madaraka, Mtu yeyote mwenye uraibu wa kitu fulani basi huwa yupo tayari kufanya kitu chochote ili aweze kupata tiba ya uraibu, na mfano ni pale teja anapokosa madawa ya kulevya wakati...
Back
Top Bottom