ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM yawatakia waislamu heri ya mwaka mpya wa Kiislamu 1447 Muharram

    Haya mambo CCM wameanza lini? Mbona ni kujipendekeza sana kuelekea mwaka huu wa chaguzi kutafuta kura kwa namna na kujionyesha wao ni wema sana ===================== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatoa salamu za heri na baraka kwa Waislamu wote nchini Tanzania na duniani kote katika kuukaribisha...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana Mkeleketwa wa CCM: Tanzania bado haijapata chama mbadala wa CCM

    Kijana Mkeleketwa wa Chama Cha Mapinduzi, Mtindi Kabourou amedai Kuwa mpaka sasa Tanzania hakuna chama Pinzani kinachoweza Kuwa mbadala wa CCM Kwakuwa Vyama hivyo vimekosa sera na Msimamo wa kifalsafa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Buchosa amewaabisha sana wakazi wa Buchosa, kwamba Tisheti za CCM ni zawadi kubwa sana!

    Nimesikitika sana. Yaaani mbunge badala kujinasibu kuwa amesaidia wananchi wake kupata maji au huduma za kiafya kama Hospital n.k Yeye anajisifia kuwaletea Tisheti za CCM wananchi wake. Hii ni aibu kubwa sana. Na ni kudhalilishana.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM Elias Mdao ajitosa kuwania ubunge Jimbo la Kongwa

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Elias Mdao, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu ujao, akieleza dhamira yake ya kulihudumia taifa kupitia jimbo hilo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dodoma, Mdao amesema atachukua fomu pindi dirisha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Tanga yatishia kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na rushwa Uchaguzi Mkuu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza wakati akikagua ukarabati wa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu Majaliwa: Hakuna Mwanasiasa maarufu kama Rais Samia ndani na nje ya CCM

    sijawahi kuona Waziri Mkuu Chawa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kwa msisitizo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndiye mwanasiasa maarufu zaidi nchini kwa sasa, ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akitoa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani

    Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Moshi: Fomu ya Ubunge ni 500,000 na Udiwani ni 50,000

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini kimewaita wanaotaka kugombea ubinge,udiwani na viti maalum kujitokeza kuchukua fomu huku wakitaja gharama ni Sh.500,000 na 50,000. Aidha,kimepiga marufuku wagombea kuambatana na wagombea,shamrashamra za matarumbeta ngoma,misafara ya watu na...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ludewa yapiga 'stop' wapambe, matarumbeta uchukuaji fomu

    Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa, kimepiga marufuku wagombe wa ubunge na udiwani kuambatana na wapambe wakati wa uchukuaji fomu. Aidha,kimesema uchukuaji fomu utaanza Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu hadi Julai 2,mwaka huu. "Wagombea wote hawatakiwi kuambatana na wapambe wowote, shamra...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Video: Bila uwoga wananchi wamgomea kiongozi wa CCM Mkoani Mara

    GT . Watu wako serious aisee. Tungekuwa na katiba nzuri hawa CCM wangekuwa washatolewa zamani sana madarakani. Pamoja na vitisho watu wamegoma kabisaa kumskiliza huyu chawa.
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Daniel Mwangili atangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la Kalenga ameeleza nia hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Mwangili ameeleza kuwa anao...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angelah Kairuki: Hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM madarakani

    Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini, Chifu Ole Shirima, atangaza nia ya kugombea

    KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima ameeleza kuwa na yeye tayari ameshakiandikia chama chake barua yakuomba ridhaa yakutia nia ya kugombea...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM imebaki na stori za debe la Kahawa na Mnywa gongo

    Wazee wa CCM ni kama kundi la wachekeshaji. Yule mwingine anajilinganisha na Trump na kila kukicha lazima atoe maneno yanayoleta mshangao kwa watu. Huyu mwingine wakati nchi ipo kwenye sintofahamu analeta stori ya debe la Kahawa na Mnywa gongo. Labda mnywa gongo kuna wakati anajua wazee wa...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanaoipinga CCM ni kosa kukimbilia nje ya nchi?

    Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania. Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania. Na wengine hufika mbali zaidi kwa kuwaita watu hao ni vibaraka wa mabeberu. Lakini Historia ya...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yasitisha ziara zake kupisha mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2025

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  18. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makala wagombea CCM kuanza kuchukua fomu tarehe 28 June, kwahiyo CCM Zanzibar wametengwa?

    Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge. Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM hatukati Mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna ya kupata wagombea ubunge na kwamba Chama hicho hakitaka mgombea ila kitateua mmoja kati ya wengi. Wasira ameyasema hayo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vyama 18 vipo tayari kushiriki uchaguzi, tuchague viongozi wanaotoka CCM, October tunatiki

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Back
Top Bottom