Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wakuu salama?
Watiania huko matumbo joto, presha inapanda na kushuka, wanaoroga wanachochea kuni na wanaosali wanasugua maguti/paji za uso kwelikweli kuhakikisha wanatoboa kwenye mchujo wa kwanza.
Tupeane tetesi kupitia uzi huu na kujadili kule kwenye ushindani mkali kutabari ni majina ya...
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa...
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.
Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
Wakuu tuwachukulie Watu Hawa
Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu.
Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact Makamba alikua anamsifia sana Samia Kuna Ile speech yake ya 'Hilo tu Mh Rais inatosha kukufanya...
Kuna nini cha kushangalia kukatwa kwa wagombea ubunge wa CCM na kamati za wilaya au mikoa ?
Hawa watu inawezekana wakaonekana wamepoteza sana lakini kumbuka hawa wengine watateuliwa nafasi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakuregenzi wa halmashauri za wilaya, miji na majiji, wakurugenzi wa mashirika...
Hii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa...
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey...
Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA.
Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii Inakua picha halisi kua UCHAGUZI HUU WA KIHUNI, CCM WATAUPORA TU.
Huwezi kukata MTU anayekubarika(...
Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi.
Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya
Watu wanaweza...
Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani.
CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja.
Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025.
Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."
Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo.
Akihutubia mamia ya...
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa...
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha...
Wakuu,
ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya
=======
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni.
Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu
Ukweli no 1.
CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha Raisi, kura nyingi wanazipata kwa jamii ziishizo vijijini
Sababu
Katika utafutaji wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.