ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM Masasi wajitokeza kuchukua fomu za ubunge na udiwani

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Masasi wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Zoezi hilo limeanza rasmi leo, tarehe 28 Juni 2025, ambapo fomu za ubunge kwa majimbo ya Masasi...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha wamtaka Comrade Dr Makonda

    Wajumbe kwa ujumla wao. Wamemuelewa RC na Mwenezi Mstaafu Comrade Dr Makonda. Isanga family
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini

    Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji fomu kwa watia nia, Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Morogoro amechukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini kupitia CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Yange anaenda kuchuana...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Hawa Wanaochukua Fomu za Ubunge Kupitia CCM Wanaelewa Hata Maana ya Uwakilishi au Ni Wapiga Kambi tu wa Madaraka Bila Dira?

    Ni jambo la kusikitisha kuona wimbi la watu wanaokimbilia kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM—wengi wao ni wasio na uelewa, hawajui hata msingi wa majukumu ya mbunge katika representative democracy. Wamejazana kwa imani kwamba chama kitawapitisha hata bila ushindani, kwa sababu mfumo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zoezi la uchukuaji fomu limedhihirisha pasipo shaka kuwa CCM ni chama kinachopendwa, chenye mvuto na itikadi ya kweli

    Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM. Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe? CCM ni chama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Manispaa Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Clouds TV
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Nakuomba Sana, Majina Matatu Kura za Maoni Hayatoshi, Napendekeza Wagombea Sita Waingie Kwenye Mpambano Badala 3

    Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale wanaowapenda ili washike nafasi 3 za juu na kisha majina yao yaende Dodoma yarudi hayo, najua fomu...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Mkenda aitaka Rombo tena, achukua fomu kupitia CCM

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Catherine Magige achukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia CCM, Arusha

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdallah Said Kirungu achukua fomu CCM kutia nia kugombea ubunge jimbo la Ulanga

    Mapema leo Abdallah Said Kirungu alifika Ofisi za CCM Wilaya ya Ulanga iliyopo mkoani Morogoro kwa ajili ya kuchukua fomu ya kutia nia ya ubunge katika Jimbo la Ulanga.
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

    Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msukuma anautaka ubunge kwa mara nyingine, atua ofisi za CCM kuchukua fomu

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma, leo ameibuka katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania ubunge kwa awamu nyingine. Musukuma aliwasili katika ofisi hizo majira ya saa 9:35 alasiri, akiwa ameambatana na Katibu...
  15. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila CHADEMA, CCM wanaenda kupiga 100% - 0%, sioni nafasi ya ubunge wa kupewa wanaouota ACT na CHAUMMA

    Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini. Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

    Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Mjini Humphrey Nsomba amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makalla awaonya watendaji wa CCM wanaolangua fomu za ubunge na udiwani

    Wakati uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa wanaotaka kugombea ubunge na udiwani, ukianza leo Jumamosi, Juni 28, 2025 kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), harufu ya mchezo mchafu imeanza kusikika.
 Imeelezwa kuwa baadhi ya wagombea wanaokwenda kwenye ofisi za CCM kwa ajili ya kuchukua fomu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha kisulutani. Wenye pesa na watoto wa Vigogo ndio watalamba dodo

    Hakuna atakaye nibishia kuwa CCM ya leo sio ya Wakulima na wafanyakazi kama alivyokiacha Mwalimu Nyerere. 👇
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe Bwana Aloyce Mwenda amechukua fomu kuomba ya Ubunge katika Jimbo la Lupembe. Bwana Mwenda amesema Yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo La Lupembe endapo Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitampa ridhaa ya kuwa Mgombea Ubunge. Chanzo: Uplands Fm
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida. Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
Back
Top Bottom