Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM.
Pia soma
Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Hawa wanaojiita Makada wengi wao ni incompetent kuanzia Mahera mpaka shilole. Taifa linalokataa vyama vya upinzani ni taifa mfu na mwendo wa maendeleo yake ni wa kinyumenyume.
Huwezi ukapasua kioo kinachoonesha tasirwa Yako kwa sababu tu kimeonyesha kuwa una kovu. Badala ya kutibu kovu wewe...
Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke.
Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili
Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii.
Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!.
Watia Nia...
Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha mapinduzi(UWT)na kuelendelea kupeperusha bedera ya CCM kwenye bunge lijalo la...
Hili liko wazi kabisa.
Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha.
Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi.
Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe.
Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi.
Ubunge pia iwe hivyo hivyo.
Hata mgombea mwenye kura chache...
Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha.
Ndugu zangu fomu...
Wakuu
Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana.
===
Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
Ile ajali ya Same imetokea mjini na sio Polini, maana yake kama kungekuwa na zima moto pale ni mwendo wa dakila 6 tu gari isha fika na kuzima moto na kuokoa watu tena wengi tu. Ila wapi hakuna zimamoto na sio Kipa umbele kabisa.
Ila pale Same V8 zipo sio chini ya 2 na Mama anaoanga kuwaongezea...
Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.
Kibaya zaidi...
HIKI NI KITU GANI?
CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa TUME; wanaojibu ni CCM.
CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi.
CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa Mahakama zetu; anajibu msemaji wa serikali au wa CCM.
Kwa kuwa imekuwa kawaida kwa watendaji...
Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Masasi wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Zoezi hilo limeanza rasmi leo, tarehe 28 Juni 2025, ambapo fomu za ubunge kwa majimbo ya Masasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.