Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya...
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake,
Muhula wa kwanza 2025 - 2030
Muhula wa pili 2030 - 2035
Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
Kwa yanayoendelea Tanzania, ikiwa kwa CCM, Mwenyekiti angekua sio lazima awe yule ambaye ni Rais, Naamini CHAMA KINGEKUA KIMESHAMREJESHA RAIS KWENYE MSTARI.
Sasa Rais ambaye ana miliki vyombo vya Dola, ndio huyo huyo Mwenyekiti, yaani ana nguvu za kichama na Serikali kuwadhibiti wapinzani wake...
Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka .
Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza .
Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma!
JK huyu...
Kwa jinsi karata zilivyochezwa walijua huyu jamaa atakuwa kama jina lake pole pole kumbe kawa kasi kasi sasa na mbinu alizotumia.
Usijeshangaa tanzania itagoma kupeleka balozi au hata mtu kwenda huko kukawa kikwazo wakijua ndio watu wanapata ujasiri na kuwa ubobevu ambao leo idara zilizotakiwa...
Hichi ndicho kinachoendelea vichwani mwa baadhi ya wanaCCM baada ya Polepole kulipua kambi ya kijani siku ya jumapili na kisha leo kuibuka upya na petrol kuteketeza kambi nzima ya kijani.
Makada wa kijani wameshindwa pakuanzia maana mama mkuu hajatoa muelekeo wa namna ya kujibu mapigo. Huenda...
Kama Gwajima na Polepole Wamesema, Basi Chama Kimeanza Kupiga Chafya.
Homa ya Ukweli Inakuja?
==============For English Audience=============
You know things are getting interesting when voices from within CCM, a party famed for its strict discipline and "family secrets stay in the family"...
Wakati Watanzania mbalimbali waki summarize Press ya Mzalendo Polepole Kwa namna mbalimbali waonavyo.
Polepole yeye kahitimisha Kwa kusema huku akisisitiza "Mwaka huu KwaDesturibya CCM kunapaswa kua na Wagombea Urais Wapya wenye Sifa, Wapyaaa wenye Sifa"
Tazama hapa kuanzia Dakika 25...
KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, aliyewekwa juu kama mzigo wa haraka uliotupwa mezani bila kuulizwa mzani...
Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.
Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao...
Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa.
https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema
Pia ametoa...
Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU
Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi
Licha ya uvunjifu huo, Hata kuchukua Fomu, hajachukua Wakuuu !!
Nitoe Rai, kama Vyombo vya Usalama Nchini...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi!
CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo wa rais unacheza vipi, naye anafuatisha humo humo.
Au anamtuma mtu aweke agenda inayomhusu na...
Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.