ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangazo la CCM la kua na Wanachama Milion 13 limetolewa kama Halalisho la Kura zao Feki CHADEMA tukomae kuzuia Uchaguzi !!.

    Hawa Wahuni hamna asojua walichokua wanakifanya kuandikisha Watoto wa Sekondari !!. Sasa leo mpenda Uongozi aloupata Uongozi Kwa Bahati, Kaja na Tangazo . Iko hivi CCM wangekua na Wanachama hao Mil 13 ,wasingeogopa Mabadiliko !!. CHADEMA ,hamna kushiriki uchaguzi wa kihuni ambao tayari Ma...
  3. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahadi za Gwajima Kujenga Ofisi za CCM Ghorofa Zazaa Magofu Kawe

    Katika vitabu vya historia ya siasa, kuna sura ambazo huandikwa kwa wino wa aibu na masikitiko. Hii ni moja ya hizo. Ni simulizi ya mwanasiasa aliyejivika joho la mkombozi, akawaahidi wanachama wa CCM Kawe “miujiza” ya maendeleo, lakini akawatelekeza katikati ya ahadi hizo. Josephat Gwajima...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarimba: Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua. Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanachama Wake Millioni 13, CCM Ina Uwezo wa Kukusanya Billion 15 Na Millioni Mia 6 Ikiwa Kila Mwana chama atachangia Elfu Moja Mia 2 Kwa Mwaka

    Ndugu zangu Watanzania, Chama ni watu na watu ndio Ushindi wenyewe,chama ni wanachama na wanachama ndio nguvu ya chama ,chama ni uchumi na uwingi wa wanachama ndio uchumi wenyewe,chama ni Wafuasi na Wafuasi ndio nguvu ya ushawishi wa chama Ukiona CCM inaweka na kusimamisha mgombea na wagombea...
  6. Black Legend

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yarekebisha Katiba yake, kwanini ya nchi wanakwama?

    Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977. Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko... Kufanya reform ya KATIBA ya nchi...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujikumbushe ahadi 10 za wana CCM

    Tujikumbushe kidogo ahadi 10 za wana CCM kwa chama chao. Zamani za Mwl. Nyerere kabla ya kupata kadi, wana CCM walitakiwa kuhitimu kwanza darasa la itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea. Siku ya kukabidhiwa kadi, ilihitimishwa kwa tamko la mwanachama mpya kuunga mkono ahadi 10 za mwana CCM. Hapa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Neema Lugangira ataka Ilani ya CCM ijayo izingatie maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya AI kwa manufaa ya Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Neema Lugangira, ametamani Ilani ijayo ya chama hicho izingatie kwa kina maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) kwa manufaa ya taifa. Akizungumza na wanahabari katika viwanja vya...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa baada ya jengo kukamilika

    Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. Makao hayo makuu mapya, ambayo...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

    === Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM. Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Relax.... ameenda tu kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM atarudi J'tatu

    Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja. Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa ccm maslahi

    Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali inakataza watumishi kuwa kwenye vyama vya siasa ila CCM inawafanya serikali kuwatumia watumishi kwenye siasa za CCM

    Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali. Hivi tutafika kwa maisha haya.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  17. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania CCM mmetukosea kwa aina ya viongozi mnaolipatia Taifa. Historia itawahukumu.

    Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa. Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena...
  18. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM nawakumbusha tu kuwa Heche nae ana umri wa kugombea Urais

    Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

    Mpo salama! Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii. Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum wa CCM

    Wajumbe ukumbi uko tayari Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum utakao fanyika kesho tarehe 29. Na tarehe 30 may utakao ongozwa na mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi Samia Suluhu Hassan
Back
Top Bottom