ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Community Journalism anguko la wahafidhina wa CCM

    CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania. Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama kielezo cha kwa nini wao wanaminya uhuru wa watu kupata taarifa. CCM hupenda kutumia msemo nusu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ jiepushe na kuibeba CCM. Jiepushe na kuingilia siasa. Iache CCM iminyane na wapinzani majukwaa ya siasa. Hakuna mwenye nia mbaya na nchi yetu!

    Hiki ni nini sasa. Sidhani kama ni sahihi. Jeshi letu ndo la kutoa salaam za kisiasa “Kazi na Utu”? Hatujavamiwa kutoka nje. Ya ndani waachie vyama vya siasa waminyane majukwaani na CCM. Sidhani kama hii ni sahihi. Watu wanadai haki na si vinginevyo. Hakuna anayeamini katika fujo. Waambie CCM...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Geita: Maandamano ya Julai 7 Yanaweza Kuhatarisha Amani ya Nchi

    Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja ======== Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kufanyika Julai 7, kikisema hatua hiyo inaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Mauaji, utekaji na kesi za uhaini ndio kitisho cha kunyamzazisha watu kupinga ufisadi wa genge la CCM mtandao?

    Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa. Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula. Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

    JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII . Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua...
  8. JamiiForums Tanzania Lucas tulisha kwambia CCM wakishakutumia siku ukiguswa ndio utajua lugha moja

    Huyu jamaa kama angekuwa kitengo cha uchawa front tunge koma. kwa sasa kama kajitenga.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Watanzania bado ni mdogo, inaelekea propaganda za CCM zimeshinda

    Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani. Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwigulu: Tofautisha Uwaziri Mkuu na Ukatibu mwenezi wa CCM

    Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM. Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ipende Kwanza Tanzania kabla ya kukipenda Chama Chako Cha Siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Chama kinakufa ila nchi haifi

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  13. JamiiForums Tanzania KWA USHAHIDI HUU CCM WANATAKIWA KUUKANA AU KUUBALI KAMA YALITOKEA YANAYOSEMWA.

    Nimesikikiza mara nyingi tu lkn Sioni walipo sema wamekosea na kuomba radhi Watanzania. Naomba tumsikikize ili nasi tujue nini kilisababisha Hawa watu kuyaongea Haya kwa kujiamini Tena bila ya yoga Wala Soni.
  14. JamiiForums Tanzania HUYU MBUNGE ASIRUDI JIMBONI MAANA HAJUI KIJANA NI YUPI

    Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia CHADEMA na CCM wasikae mezani kuondoa huu mzozo?

    Assalam alaykum Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mnavyolalamika TLS kutumiwa ndivyo ilivyo na kwa wenzenu wamelalamikia kuwa taasisi zote zinatumiwa na CCM ikiwemo INEC

    Kama mnavyolalamika TLS kusema inatumiwa na chadema ndo ilivyo kwa miaka yote Chadema wanadai au kulalamika kwamba taasisi zote za serikali zimekuwa zikitumiwa na CCM au kupokea maagizo kutoka CCM tena wale viongozi wa kuu wa zile taasisi ni mapandikizi ya CCM na nyie mnajiita chama dola kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataongoza Kikao Maalumu Cha Kamati Kuu. Muda wowote Kuanzia Sasa CCM Kuisimamisha Dunia na Kutoa Muelekeo Wa Masuala Mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ameongoza Kikao Maalumu Cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam. Ambapo Masuala mbalimbali Nyeti yamejadiliwa yenye Kugusa na kuzingatia Maslahi ya Taifa na...
  18. JamiiForums Tanzania CCM inaogopa na inawaza siku wakishika nchi CHADEMA ndio mwisho wa wao umeishia hapo

    Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti. Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza. Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS. Tarehee 7 msije shangaa mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Franceo: Zuio la Mikutano ya Kisiasa, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano

    Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano yanayoweza kupelekea ghasia. Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini kinachowafanya wawe timamu, mbona wakienda CCM wanaonekana kama hamnazo?

    Wakuu, nimeshudia watu wengi walipokuwa CHADEMA walikuwa wanaonekana kama wako timamu, ubongo unachaji, wakiongea wanatoa madini, wanakupa kitu cha kukufanya ufikiri ila hao hao wakihama wanaongea kama wamekatwa vichwa, utumbo tu kama akili hamna. Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini ili nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…