ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

    Nimecheka sana, Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shemsa Mohamed: CCM Tupo Simiyu Kuhakikisha Serikali Inatekeleza Majukumu kwa Wakati

    SHEMSA MOHAMED: CCM TUPO SIMIYU KUHAKIKISHA SERIKALI INATEKELEZA MAJUKUMU KWA WAKATI Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kutoka Mkoa wa Simiyu, tarehe 4 Juni 2025 wamefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Busega kwa lengo la kusikiliza, kushughulikia na kutatua kero za wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

    ANGALIZO MAHSUSI: Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!.. Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Njia ambazo serikali ya CCM inazotumia kuzima mijadala au kuhoji

    Kuna njia nyingi ambazo watu hutumia kufifisha mjadala au mazungumzo hasa pale inapobainika kuwa kuna ukweli usiowapendeza au unaoweza kuathiri maslahi yao. Hapa kuna baadhi ya njia zinazotumika: 1. Kubadilisha Mada (Changing the Subject) Wanaweza kuleta mada mpya ya kuvutia au ya kuchochea...
  6. JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  7. JamiiForums Tanzania Umasikini umetengenezwa na CCM

    Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  9. JamiiForums Tanzania Dola na CCM wanaweza kuua Tasnia ya Siasa(Political Industry) pamoja na uwekezaji mkubwa uliokwishafanyika

    Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi serikali kupitia mapato ya ndani pamoja na fedha za wahisani Imewekeza mabilioni ya dola na na matrilioni ya shilingi kwenye tasnia ya siasa ili kuikuza, kuiimarisha kwa maslahi ya Taifa. Uwekezaji huo upo katika maeneo mengi sana mathalani 1. Tuzuku kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Asema CCM Itaendelea Kuwa Daraja Kati ya Serikali na Wananchi

    SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania CCM ni vigeugeu sana ni kipi mnashida kwa CHADEMA kama mnapendwa wananchi

    Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM. Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere. Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani. Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao...
  12. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ila CCM tunachukiwa jamani!

    Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA juu ya NO REFORMS NO ELECTION

    Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo 1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na Samia nani tatizo au nyenzo kwa taifa letu

    Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa. Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii, unashindwa kuelewa kama tatizo ni yeye au CCM au vyote. Kwa maoni yako, nini tatizo au ubora kwa taifa...
  15. JamiiForums Tanzania CCM ina mapungufu yake, lakini haitakiwi kuondoka madarakani: Ukongwe wake na historia yake ni exceptional hili bara, chama kilindwe na kiboreshwe

    Naomba radhi mapema kwa yeyote atakayeona maudhui haya yanakwaza au kuumiza. Makala hii haikulengi kuchokoza, bali kuchangia fikra za kitaifa. Imani yangu ni kwamba hata Chama Cha Mapinduzi chenyewe — kama taasisi makini yenye historia ndefu ya uongozi — kitapata funzo au msukumo chanya kutoka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wanashambulia CHADEMA badala ya CCM imekuwaje tena?

    Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama CHADEMA badala ya CCM, siyo kwamba wanarudia kosa walilofanya ACT? Lengo la Chama chochote cha Siasa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM. Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki. Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  19. JamiiForums Tanzania Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

    1. Wenje 2. Sugu 3. Mungai yule kamanda kule Iringa 4. Yericko Nyerere 5. Mbowe mwenyewe 6. Gwajima 7. Mpina Luhanga 8. Covid 19 Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
  20. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…