ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  3. JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe ameandika 'CHADEMA na wanaharakati sasa wamekuwa mashabiki wa CCM'

  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyepinga uteuzi mgombea Urais CCM aibuka tena, asema sio tu katiba ya chama iliyovunjwa, bali hata katiba ya Tanzania ilivunjwa

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mch. Dk. Godfrey Malisa: Naendelea kusisitiza katiba ya nchi na chama zilivunjwa kwa kumteua SSH kuwa mgombea Urais wa CCM

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiko wapi nyie wapinzani pumzi mbwembwe mikwara mipasho majigambo yenuu kwishnei hakuna anayewajali habari kubwa ni CCM

    CCM ndiyo habari yenye kuuza Kila sehemu usipoandika habari za CCM huwezi pata wasomaji kabisa yaani Hadi nawaonea huruma wapinzani Mkilala mnawaza CCM mkiamka mnawaza CCM mkienda kusaka ugali.mnawaza CCM mkiwa bar mnalewa mnawaza CCM mkirudi majumbani mnawaza CCM yaani CCM ndiyo maisha ndiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja aliwezaje kua Mwenyekiti CCM mkoa? Haijui hata Katiba ya Chama, Samia kavunja Katiba ya Chama/Dola, Ukweli Huu hapa

    Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!. Katiba ya CCM Ibada ya 100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa utashughulikia mambo yafuatayo:- (a) ---- (b) Kuchagua jina moja la Mwanachama atakayesimama katika...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Bananga: Nimerudi CCM kufanya kazi sio kisa nimefukuzwa CHADEMA

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV. Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi. Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

    Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi. Fungueni macho
  11. JamiiForums Tanzania Kinachowaogopesha CCM siyo katiba mpya bali ni maneno mapya yatakayokumbukwa kwa uharaka zaidi

    Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it. Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake yatakuwa mapya na marahisi kukumbukwa. Kwa sasa wanakiuka misingi mingi ya katiba mpaka wanadiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

    Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde 1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa) 2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Baada ya madaftari sasa ni Sendo Za Mama. Haya ndo maandalizi ya CCM kwenye Uchaguzi?

    Wakuu, Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama. Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu! Haya mambo ya uchawa yamefikia kwenye kiwango cha ajabu sana
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli wamepitishwa na CCM tayari au ni speculatins za mitandao

  16. JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  17. JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  18. JamiiForums Tanzania Kipindi ambacho hakukuwa na uchawa wala utekaji watu walikuwa wakiburudika na nyimbo za kuponda CCM

  19. JamiiForums Tanzania Hii ni CCM tunayoijua kweli?

    Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…