care

  1. Brela namba mlizoziweka ni urembo? Ampokei simu kabisa kwanini lakini?

    Haya mawasiliano yamewekwa brela ni urembo au, Aisee hawajamaa hawaja wahi kupokea simu. Yani kama uko shamba inabidi ufunge safari tu kufika ofisini.
  2. U

    Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  3. K

    Why should we care about accessibility and ableism?

    Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics Canada’s 2022 Canadian Survey on Disability found that 27 per cent of Canadians aged 15...
  4. Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

    Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police. Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
  5. Si niliwaambia msioe? Take care, Vitoto vya 2000 vimeanza kulazimisha ndoa

    1. Ni singo maza ... 2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!! Uzi tayari. #YNWA #YANGA_BINGWA
  6. Hizi graduation za day care na nursery zimeanzia wapi?

    I salute you kinsmen Wakuu Kuna jambo huwa linanishangaza sana Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi. Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule Kumbe wameweka graduation party wazazi wamealikwa jioni hiyo Yaani kiufupi ni graduation ya watoto kumaliza day care! Hapo...
  7. PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

    "Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
  8. R

    They do not care at all

    Baraza la wapi? Lifanye nini? Limfanyie nani?
  9. X

    Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

    Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa. Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba. Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi. Kuna...
  10. Mama Gwajima, sunday schools na day care zimekuwa nyingi, nakushauri unda task force za kuwatembelea kwa kushtukiza kuangalia mienendo yao.

    Dkt. Gwajima D Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi. Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama wanazuzingatia kisahihi? Amid kuwepo na ripoti za wafanyakazi wa hizo day care na wapita njia kuwarubuni...
  11. Spiritual laws you must respect they don't care if you believe them or not

    LAW OF RECIPROCITY - what you send out energy, thoughts and actions returns amplified. LAW OF AUTHORITY - spirits only respect those who knows they are. if you're confused they dominate. LAW OF RESONANCE - you attract what matches your vibration, purity =clear outcomes. LAW OF TIMING -...
  12. L

    NBAA Ina changamoto ya customer care - badilikeni

    Habarini ya Muda huu, Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care. Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia E-Mail kwa email address yao ya info@nbaa.go.tz hawazijibu. Kwa sasa nipo Mpanda - Katavi nimeshatuma...
  13. Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

    Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa. Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua...
  14. S

    KERO Kwanini Customer care wa halotel ni wabovu?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10 bila msaada wowote. Ukiandika kupitia mitandao yao ya kijamii wanajibu kwa kuchelewa au kwa ujumbe...
  15. R

    Mwabukusi take care, hawa siyo watu, take care. Usidharau message za vitisho wanazokutumia, take them seriously!

    Hawa sio watu, Mwabukusi take care! Kama wamemfanyia haya Mdude, take care!
  16. 11 New Job Openings at Platinum Medical Care – May 2025

    New Vacancies at Platinum Medical Care – May 2025 Platinum Medical Care is seeking to hire professional and dedicated individuals for various positions. Join our team and contribute to providing the best services in patient care. We are currently looking to fill the following vacancies...
  17. R

    Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

    Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
  18. Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  19. Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

    Wakuu habari za humu ndani. Mpaka sasa najiuliza why she don't care. Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa. Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa. Hana time na wewe. Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa. Why she don't care, najitoa sana...
  20. Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

    Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten. Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…