Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan
gia matukio ya rushwa kuendelea kuwa ngumu kudhibitiwa hasa yale makubwa ni mtu anayeshika nafasi ya...
Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu.
Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia.
Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo.
Inasikitisha kuona nchi...
Watu wote wamezuiwa kutumia resources za CHADEMA kama wanataka nyaraka wafungulie CHAMA kishwa waende kwa Katibu Mkuu John Mnyika na kamati tendaji yake waulize maswali kuhusu hizo financial report wanataka
Unafungia chama kisifanye kazi halafu unaomba nyaraka za kihasibu huyo mhasibu...
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%.
Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika.
Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia.
Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya?
"Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti...
Deni la Taifa linakuwa alafu mda huo huo ukisoma report ya CAG unaona kuna watu wanaiba na bado wanaendelea kubaki kazini sio sawa kwa nchi ambayo inategemea wahisani ilihali tax base ni ndogo
Yafuatayo ntafanya baada tu ya report ya CAG kusomwa
Wote ambao idara zao zinahusika kwenye...
RAIS anataka kuwakamua wananyonge na Masikini, wakati huohuo amefail katika Usimamizi wa FEDHA hizo zinazokusanywa, amefail katika kukusanya hizo Fedha.
Luaga Mpina mara Kadhaa anaonyesha Kwa Ushahidi ni Mabilioni mangapi in USD yapo Mahakaman mpaka sasa!!
Luaga Mpina mara Kadhaa anasema...
Wadau hamjamboni?
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi.
Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
ACT Wazalendo wanafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024 Mei 10, 2025
https://www.youtube.com/live/Ltw_Nm2uc64?si=u_-wloQzSYNSmXcg
UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2024
“Ubadhirifu, Uozo na Ufisadi...
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
Yo ma men, sikiliza hii game real quick...
CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money.
But guess what?
Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
Wakuu,
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43.
Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi.
Kusoma...
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Ripoti hii inaonesha ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2024. Inajumuisha utendaji wa kifedha na uendeshaji wa mashirika ya umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.