caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  2. Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

    Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini, Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
  3. Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    πŸ”΄ CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza. Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu...
  4. K

    Yanga Tunakwama Wapi Kwenye hizi Ranking Za CAF.?

    Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa.. Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa... Pale CAF zile ranking zinaeleweka ? Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.? 1. Al Ahly 2. Mamelod Sundown 3. Esperance de Tunis 4. Rs Berkane 5. Simba 6. Pyramids 7. Zamalek 8. Wydad...
  5. Tanzania kufungua Michuano ya CAF CHAN 2024, Fainali kupigwa Kenya

    TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
  6. FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
  7. Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  8. Wana Simba SC tumeshaanza 'Kupigishgana Shoti' halafu mwisho wa siku Yanga SC anakuwa Bingwa na tunabaki na Ubingwa wetu wa kuwa namba Nne CAF RANKS

    𝗧π—₯π—”π—‘π—¦π—™π—˜π—₯ π—‘π—˜π—ͺ𝗦: Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22). Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali. Chanzo: Baraka 255 Tunaoujua vyema Mpira wa Kitanzania na hasa Siasa zake za ndani GENTAMYCINE tayari kuna...
  9. Kuna ukweli wowote Pan African S.C ya Tanzania ishawahi kufika robo fainal CAF?

    Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni kwel naona kuna taarifa za CAF Champions league ila sio za robo fainali...
  10. Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
  11. Yanga wamempa likizo ya lazima Ahmed Ally semaji la CAF

    Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
  12. Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
  13. Timu 4 kutoka Afrika kushiriki Klabu Bingwa Dunia

    Bara la Afrika itawakilishwa na timu nne katika mshindano ya klabu bingwa dunia ambapo mechi ya kwanza kwa timu kutoka Afrika itakuwa kati ya Manchester City dhidi ya Wydad.
  14. M

    Angechukuwa Kombe la CAF ungekuta hadi leo ni ziara ya majigambo

    Mungu ni Mkuu. Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako . Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu akasema " HAPANA ". Kimsingi ktk ligi yetu Mashabiki wanaoongoza kwa maneno Machafu ni SIMBA. Vinywa...
  15. Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  16. Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  17. L

    Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

    Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF, Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA. Rais wa CAF...
  18. M

    Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

    Refa yule yupo Makini sana na ni mtu wa haki. Marefa wetu mjifunze
  19. W

    Tukiweka ushabiki pembeni mimi naona ni bora Yanga ndio aanze kuleta kombe la Caf, watapiga kelele wiki 1 au 2 maisha yataendea

    Ni kwli watani wote wa jadi wana kelele za kutambiana ila Yanga wana nafuu, ikitokea wakashinda kombe la Caf kutakuwa na kelele ila ni kwa muda mchache yataisha. Kwa simba hali ni tofauti kabisa, yaweza chukua mwaka mzima kinaongelewa kitu hicho hicho
  20. Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

    Hapo vip!! Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili. mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa. 1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…