caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama sababu Kuu ya Yanga SC kufanya vibaya CAF CL ni Pre Season basi tuwaombe GSM watusajilie upesi huyu Mchezaji Pre Season ili Msimu ujao tutoboe

    Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
  2. JamiiForums Tanzania Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

    Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani? ======= Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona. Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga 28' Rivers...
  3. JamiiForums Tanzania Caf wajisogeza kwa simba

    Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ? Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama Sasa Caf wameanza kuisogelea simba washajua simba ina mashabiki wengi sana Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia Hivyo wameamua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tunajitoa kwenye mashindano: Caf wanaipendelea Simba! itakuweje sisi tucheze mechi 2 wakati Simba hajacheza hata mechi moja?

    Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
  5. JamiiForums Tanzania CAF naomba ichunguze upya vyeti vya kocha wetu huyu

    Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli? Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia 1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

    Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
  8. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

    Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu. Uzi tayari, kama una bisha sawa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

    Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha. Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuvuliwa uanachama wa CAF hii imekaaje kisiasa?

    Habari wadau..! Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
  12. JamiiForums Tanzania CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

    Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza.. Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo.. Kaizer ameshatangulia fainali
  14. F

    JamiiForums Tanzania CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

    Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
  15. F

    JamiiForums Tanzania VAR yawapa away goal kaizer chiefs vs waydad.. caf champions league semi final

    Muhuni kaizer chiefs. Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
  16. JamiiForums Tanzania CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

    Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  18. JamiiForums Tanzania Je Wajua? Mwaka ambapo Tanzania iliingia kwenye CAF RANKING kwa mara ya kwanza

    KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

    Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969. Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano Hatua ya awali. Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
  20. JamiiForums Tanzania TFF: Tanzania kuwa na timu 4 mashindano ya CAF msimu ujao

    Hatimaye yametimia! Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South Africa. CAF champions league itashirikisha mshindi wa VPL kama ilivyo kawaida yake, huku mshindi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…