caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

    Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali. Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari. Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule...
  2. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Simba kuishitaki Waydad CAF

    Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani huwa ni utamaduni. Je, hii inamaanisha uoga au? Dondosha lako tuichambue.
  3. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono?

    Je unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono. Tabiri matokeo yako tujuane. Simba 2-1 wydad Yanga 1-0 rivers Wewe je?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

    Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania CAF Nao ni Wababaishaji tu: Miafrika Ndivyo Tulivyo

    Angalia walivyopost matokeo ya mchezo baina ya Yanga na TP Mazembe kule Lubumbashi wiki chache zilizopita kama siyo ubabaishaji huo. Miafrika ndivyo tulivyo.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

    Habari za jioni. Utabiri wangu ndio huo. Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa. Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rivers United Wameshinda mechi 12 kati ya 14 walizocheza nyumbani katika michuano ya CAF

    Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye mafanikio. Ushiriki wao kwenye CAF umeanza hivi karibuni mwaka 2017, Hizi rekodi zao wakiwa nyumbani...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Picha hii ya CAF inaashiria nini kwa Simba?

    Kwa wajuvi wa mambo na wale waliosoma Cuba, Je, ukitazama kwa makini picha hii unapata tafsiri gani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

    Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia. Clab bingwa yamebaki...
  13. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya simba kwenye michuano ya kimataifa ya CAF

    Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF. Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5 kuifikia hatua hii ya Simba.
  14. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

    Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali. Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kama timu yako ipo CAF Super League, usibabaishwe na mtu

    Just for your information Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc kutoka Tanzania, East Afrika. Kuna vigogo kadhaa tuseme 10 mpaka 15. CAF wamekaa wakaumiza vichwa...
  16. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

    SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU. KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya rekodi CAF: Yanga kufungwa magoli mengi zaidi kwenye hatua ya makundi champions league!

    Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998. Most goals conceded in group stage (single...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Timu za DRC ziko hoi taabani: TP Mazembe inashika mkia kwenye kundi lake huko shirikisho na Vita inashika mkia kwenye kundi lake caf champions!

    Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
  19. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Mnyama alivyopenya CAF

    Horoya AC ya Guinea walichapika haswa juzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke. Walipigika hasa. Unapoona kiungo wa chini, Sadio Kanoute akiondoka uwanjani na mabao mawili ujue wapinzani walikuwa katika maisha magumu. Na kweli. Horoya walipigika haswa na hawatakuja kusahau. Simba...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF: Goli la Mwamba Chama ni goli bora la week

    My Take Hii ni heshima ya nchi na ligi yetu. Wadau wote bila kujali itikadi tukampigie kura Chama tumalize kazi. Sasa wamelingana kura mwarabu. Tulichobakisha ni kupiga kura za hasira na kumpita kwa mbali
Back
Top Bottom