butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Butiku na Wazee wenzake wa Ovyo, hawajataja Hatua kwa Walioua, wanaoteka Watanzania , hawasemi walotekwa waachiwe, Akina Lissu

    Mzee Butiku na Genge lako la Wazee wahuni huni ,Wazee wa Hovyo, tuliwakataa kitambo sana.
  2. M

    Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  3. Just Pray

    Butiku: Yaliyotokea Oktoba 29 yametuachia doa la aibu, majirani wanasikitika pamoja na sisi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imepitia kipindi kigumu kilichosababisha taifa kutetereka, lakini halikuanguka. Akizungumza leo Januari 22, 2026 wakati wa kufungua mkutano wa Taasisi ya Mwalimu...
  4. R

    Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
  5. Roving Journalist

    Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  6. DodomaTZ

    Mkutano wa Butiku na Wazee uliopangwa kufanyika leo (Januari 22, 2026), je, utafanyika au utakumbana na figisu?

    Mzee Butiku aliitisha mkutano na wazee kutoka kada mbalimbali kushiriki mazungumzo yanayoweza kuchochea mawazo ya kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Katika mkutano wake na waandishi wa habari (press conference), alizungumza mambo mbalimbali, ikiwemo suala la kufungwa kwa ofisi za CHADEMA...
  7. Ileje

    Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  8. K

    Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako

    Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako mzee wetu. Bila katiba mpya ambayo inasimamiwa na chombo huru cha kitaalamu sio makada hali hii itaendelea kubaki hivi. Wanzania wataendelea kuwa na hasira na hiyo unayoita vacuum haitaishia nchini. Watanzania wanataka...
  9. K

    Mzee Butiku - Gen Z bado hawajakuelewa, wanakuona kama ni Babu unayezeeka vibaya ni Bora ukanyamaza huku ukisubiri siku ya kutwaliwa na MUNGU

    Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
  10. Doctor Mama Amon

    Swali Kwa Jasusi Butiku Kuhusu Mduara wa Serikali Haramu Kupitia Chaguzi Bandia Tangu 1995: Tangu Lini Kesi ya Nyani Ikaamuliwa na Ngedere kwa Haki?

    https://youtu.be/1J1k-Bpi9Vc SWALI KWA JASUSI BUTIKU: TUNAWEZAJE KUPATA NGUVU YA KUVUNJA DUARA LA UHARAMU, UKATILI NA UDHAIFU WA SERIKALI UTOKANAO NA CHAGUZI BATILI MWAKA HADI MWAKA? Taasisi ya Mwalimu Nyerere ni shirika huru lisilo la kiserikali la Tanzania lililoanzishwa mwaka wa 1996 ili...
  11. DuaZaMama

    Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo. Mchungaji Mwakipesile...
  12. funaku

    Lengo la press conference ya Butiku ni lipi?

    Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini . Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha. Tabia hii itakomeshwa lini?
  13. Common Folk

    PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  14. R

    Angalau léo , msikilize Mzee Butiku

    Sikiliza, amerudi kwenye msitari kwa leo. Sijui kesho!
  15. Waufukweni

    Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

    Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
  16. M

    Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

    Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole. Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM...
  17. R

    Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
  18. R

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Mzee Butiku inapoteza hadhi yake!

    Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara. Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"! Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades! Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
  19. R

    Mzee Butiku, ulimuuliza Samia kwanini anamfunga Lissu?

    Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie. Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo! Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki? Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc...
  20. R

    Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Back
Top Bottom