Butiama is a town in northern Tanzania and the birthplace of Julius Nyerere, the first president of Tanzania. Butiama is administrative centre of Butiama District, and lies within the Mara Region; it is also the local residential area of the Wazanaki tribe which is believed to be the smallest tribe in the region. The Mwalimu Nyerere Museum Centre is located in the town.
Several things have been named Butiama because of its significance to Tanzanian history, including the ferry MV Butiama that operates between Mwanza and Ukerewe.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Butiama was 15,383.
Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono wa sweta' mnadani, duh! unakatwa govi mbele ya kadamnasi?
Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si...
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi...
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama.
Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma...
Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara wa waendesha Baiskeli kuanzia Septemba 28 na tutafika kikomo Oktoba 14 huko Butiama. Lengo ni...
Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele...
Mama Samia , Katika halmashauri iliyojaa wizi ni hii, bahati mbaya sana janja janja hutengenezwa na kupewa Hati safi.
Nendeni mjionee ni nyumbani Kwa Mwl Nyerere lakini majizi hayana Aibu .
Toka Mzee Magufuli alipoanzisha Ujenzi wa Hospitali hizi za Wilaya Tanzania nzima , Katika Wilaya...
Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT.
Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha...
Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani nichape maiti take viboko mia sababu alikuwa ni mlevi wa madaraka ila nashangaa kuna mijitu inamuita...
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar.
Hii...
Rais wa Msumbiji atafika kijijini Butiama leo.
Ataongozana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Emmanuel Nchimbi.
Mheshimiwa Rais ataongea na wanakijiji katika mkutano wa hadhara.
Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere.
Lakini sijapata mtu wa kumuuliza.
Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who.
Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............."
Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy...
Wazee wa Mila Wilayani Butiama Mkoani Mara wameiomba Serikali iweze kuwachukulia hatua Wanasiasa ambao wamekuwa wakileta ukabila, ukanda na udini kwenye mambo ya maendeleo hali inayoweza kuleta machafuko baina yao.
Wameeleza hayo wakati wakimsimika uchifu Jumanne Sagini ambaye ni Mbunge wa...
NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA.
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802.
Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali.
Kwa kuwa serikali yetu ni...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara, ifikapo mwezi Disemba 2023 kama ilivyoelekezwa.
Maagizo hayo ameyatoa leo Novemba 18, 2023 wakati...
Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru.
Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai.
Tukaenda Butiama ikafanyika misa, lakini hotuba ya paroko ilikuwa inaonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.