Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.
Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo...