business

  1. Biashara Nafuu

    JamiiForums Tanzania 70 Business Guides & Excels

    Do you want to start any of the following 70 businesses? • Precast Concrete Products (Cabro) Making • Maize Milling • 15 Unique & Untapped Ideas • Quarry • Motorcycle Spare Parts Retail • Mattress Wholesale & Retail • Natural Soap Making • Kuku Fact Sheet • Bottled Water • Njugu Karanga...
  2. phzhenry

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

    WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

    Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM. Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN...
  4. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho wa siku niligundua kanuni saba za asili ambazo mimi naziita 7 natural laws. Ninaposema natural laws...
  5. H

    JamiiForums Tanzania AI Tools for Small Business: How AI Can Transform Small Business Operations Today

    Artificial Intelligence (AI) is now becoming transformational not only for large multinational companies but also for small businesses. The advancement in technology, specifically AI, has made it easier, cheaper, and more efficient to use. AI can now be utilized by small businesses to increase...
  6. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  7. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

    Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
  8. kingphisher

    JamiiForums Tanzania I am Looking for an Opportunity to Learn and Gain Practical Experience in the Field of Business IT

    I am writing concerning the subject mentioned above. I am a graduate with a degree in Business Information Technology, seeking any opportunity to learn and gain practical experience in line with my career. Although I acquired extensive knowledge during my time at university, I am eager to find a...
  9. Investaa

    JamiiForums Tanzania Boring Business Idea!

    Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas. Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: senior business and market intelligence officer

    TRADESAFE LIMITED LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED --- ROLE OVERVIEW TradeSafe Limited is seeking an experienced Senior Business and Market Intelligence or Analyst Officer who will also serve...
  11. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

    Habarini ndugu, Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila...
  12. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Tatizo Sio business idea, tatizo ni mtaji mdogo, biashara zipo NYINGI Ila limit ni mtaji mdogo.

    Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
  13. Brojust

    JamiiForums Tanzania Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  14. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania ANAHITAJIKA MTU WA MARKETING IN SOCIAL MEDIA HARAKA.

    Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media. location : Darces salaam Salary kwa...
  15. Moaz

    JamiiForums Tanzania Need Help about This Business Idea

    Marathon Hub in Tanzania: Connecting Runners, Organizers, and Communities As marathon running continues to gain popularity globally, Tanzania has become a prime location for these athletic events. Marathons like the Kilimanjaro Marathon, CRDB Marathon, and others attract thousands of...
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Andaa Business Plan inayolenga soko zaidi, mengine baadaye

    Chuo tukisoma business administration , unapewa format ya kuandaa business plan ambayo robo ya muongozo unajikuta unashindwa kundana nao. Lakini ukiingia sasa elimu ya kimtaani taani (iite kitaalogy) unagundua lngo kuu la Businss Plan ni marketing. Wiki hii kuna familia walinitafuta wanataka...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GET Business plans and Grant proposals for Your Initiatives

    Hizo ni huduma zangu kwa mdau yeyote Tanzania, popote alipo Tanzania hii tunafanya nae hizi WRITEUPS. Hii inaambatana na ushauri kabla na baada ya kukabidhiwa writeup. Pia naweza fanya Fund Seeking from financiers au donors world wide. A) Business plans for all profit oriented activities new or...
  18. Brojust

    JamiiForums Tanzania Je, Rais ana Kitambulisho au Business card kinacho onyesha nafasi yake katika serikali?

    Habari za muda huu. Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze. Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi inayotembea. Popote anakapo kuwepo duniani. Je, Raisi ana kitambulisho kinacho onyesha nafasi yake katika...
  19. PeeWee

    JamiiForums Tanzania Mssada wa Business Ideas

    Habari za wakati huu wana JF, natumai mko salama na mwaendelea na mapambano ya kujitafutia mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mimi nipo jijini Mwanza na nimekuja kwenu hapa jukwaani kuweza kupata msaada wa kupata ideas za biashara katika jiji hili la Mwanza. Kiwango cha...
  20. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kampuni ya ICT services

    Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
Back
Top Bottom