bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo.. Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri 1.tunda man 2.ney wa mitego 3.dogo janja
  2. GE2025 Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA

    Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA. Mmewatengeneza wajinga na wapumbavu na sasa wanaogelea kwenye bwawa la umaskini hawaoni mbele wala nyuma, option yao ya mwisho ni kufukuza upepo. Mmeshindwa kuondoa bodaboda au...
  3. Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

    GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi. Hivi vilio na...
  4. Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

    Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya...
  5. R

    Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
  6. Kama unamuda wa kusali huna muda wa kusikiliza mrejesho wa Mungu unapoteza muda bure

    Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu. Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo. Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia...
  7. Kwenye nchi ya kusadikika mtamlaumu Malikia bure

    Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu", kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
  8. Kama unahitaji kifusi nicheki uchukue Bure

    Habari zenu wakuu, kuna sehemu nafanya kazi hapa Buguruni imevunjwa nyumba na limechimbwa shimo la choo sasa kifusi ni kingi na ni eneo la baarabarani, ikiwa unahitaji nicheki uje ubebe asubuhi bure kbisa. Njoo na gari na watu wako wa kupakia hicho kifusi 0624254690
  9. Tech Zone: GPS ni bure dunia nzima, ila raia wa Marekani ndio wanahenyeka kulipa kodi za uendeshaji wa mfumo.

    Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
  10. PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  11. Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  12. Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  13. Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  14. Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  15. P

    TFF na bodi ya ligi,ushauri wa bure kuelekea mechi ya dabi 15 June 2025

    Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake! Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la...
  16. Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  17. Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  18. Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  19. Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

    Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu 💔😢
  20. Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

    Mzuka Wana Jamvi ? Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu. Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…